niko inlove mbaya na angel wa bongo star search

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
jamani mnamkumbuka yule binti wa arusha angel aliyekuwa bss
Yule mweupeeeeeeeee kama zeru zeru
Am in love jamani na huyu mtoto mwenye kunipa file lake jamani msishangae ukasikia nimemuoa yule mtoto jamani so waungwana naombeni baraka zenu na wahenga na wazee wa mnusaiie kum scan kama anafaa kuwa mke wangu au la
Na wapi anapatikana oooo angel i luv u
 
kama ni kocha wa mitongozo huyu muanzisha thread siwezi kumuita katika kikosi changu!!!!!!mbinu zake za kizamani na kamwe haziwezi kuleta mafanikio.......kwa vijana wa leo walivyo na uchu na mbinu za kutisha unakuja na mbinu kama hizi unadhani unaweza kung'oa mtoto mzuri?????
 
hebu nipe mbinu bwana wewe najua kuuza kwako sura lazima utakuwa una data zake
 
Huyo shori alikua anasoma KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY Dar campus ila sahivi kahamia main campus uganda kama vipi muibukie huko huko UG.
MAPROSOO.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom