Nikitongoza huwa nafurahi sana nikikataliwa kuliko nikikubaliwa....!

we muongo.hakuna kitu kama hicho kwa rational behavior ya mwanadamu! may be una some mental breakdown!!
 
Kuna jinsi ya kupima kama mtoto wako ni wa kawaida
Muwekee katuni ya Tom an Jerry

Ukiona anamshabikia Tom, ita daktari wa akili haraka

we muongo.hakuna kitu kama hicho kwa rational behavior ya mwanadamu! may be una some mental breakdown!!
 
mtoa mada na watoa coment mnanichekesha mwana wa mwenzenu.

sipati picha siku ukikubaliwa sijui utasema samahani dada nilikua nakutania tu.
 
Du!! Hi sasa kali wakati c wengine tukikataliwa ndo nguvu inaongezeka hadi kieleweke!
 
hahahaha acha uongo kama ulienda kwa lengo la kukataliwa usingeenda hayo maneno ya mkosaji tu yakujipoza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom