Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

Wewe ni janga la kitaifa...hatukutaki, uhitajiki, na hatutakuhitaji kamwe chadema....Tabia zako zinafanana kabisa na zile ulizokuwa nazo wakati wa ujauzito wa mama yako.

jamaa,kwa akili yako,uelewa wako na jinsi unavyofikiri kwa kutumia kiungo ambacho si chenyewe,huwezi jibu hata swali moja,na naamini muuliza maswali hakukusudia watu kama wewe watoe majibu zaidi ya matusi.
 
wamekusikia, lakini hawakuhitaji, kwahiyo majibu hawatatoa kwa mtu wasiyemuhitaji, kwahiyo nenda kalale, maana naona unatisheti mbili ya puple na kijani.
 
Mkuu chukua like ya maandishi.
Hongera kwa maswali yako yenye hoja za msingi sana,lakini kwa kukutahadharisha tu,tegemea kupata matusi,dharau,kuitwa majina na kebehi kwa wana CDM wengi wa humu,maana kwa hao wengi wao,kujenga hoja ni mtihani walioushindwa kabla hawajaufanya.

Huyo akirudi Chadema mi naondoka....... Na nilivopotoza muda mwingi kubishana nae..... Ahh Hapana.
 
Tujaribu kuwa realistic, tunapoongea mambo tusiwe wasahaulifu, hayo maswali yanamlenga Individual na sio msimamo wa Chadema. Pili kama kweli ungekuwa unauliza maswali haya kwa nia ya dhati kabisa basi at least tungeanza na zile ahadi za JK then tuhamie kwa hiki mnachokiita chama cha |Wachaga, Chama cha Msimu..... Tujifunze kutoa boriti ndani ya macho yetu ndipo tuweze kuona vizuri vibanzi vilivyo kwenye macho ya wengine.
 
Tujaribu kuwa realistic, tunapoongea mambo tusiwe wasahaulifu, hayo maswali yanamlenga Individual na sio msimamo wa Chadema. Pili kama kweli ungekuwa unauliza maswali haya kwa nia ya dhati kabisa basi at least tungeanza na zile ahadi za JK then tuhamie kwa hiki mnachokiita chama cha |Wachaga, Chama cha Msimu..... Tujifunze kutoa boriti ndani ya macho yetu ndipo tuweze kuona vizuri vibanzi vilivyo kwenye macho ya wengine.
Maswali yameelekezwa chadema,hivyo ni vyema majibu yakatolewa.
 
Hata mimi binafsi natamani kuona Slaa akileta majawabu,maana hayo maswali kwa Mwanachadema wa kawaida ataishia kujikanyaga.

Ngoja Slaa alete majibu ili watu tuwaamini wanachokisema.
hakuna atakaethubutu kuleta majibu ya maana,hata dj mbowe anajua hilo wataishia kutoa povu tu
 
Dkt Kilembwe

Dr. Kwa kifupi kila jambo linawakati wake,hayo yote uliyoyataja yalisemwa kwa wakati ule na hayawezi kuzia chadema kuwa na umoja na Cuf, NCCR , NLD na watanzania wasio na vyama wanaotaka mabadiliko ya kweli.Jiunge na wote wanaochukia maisha haya magumu
 
Last edited by a moderator:
Kila dhambi inasemehewa, na wakosaji hutubu. Hata Zito akiungama na tukaamini ametubu na kuacha njia zake mbaya tutamkaribisha.

There is no Permanent enemy in life.
 
Ungesema tu unataka majibu ya hayo maswali ingekuwa hoja nzuri sana, sasa kwa kusema ukipata majibu ndo unarudi Chadema inaoneka kama vile unawapa ultimatum, jibu la kwanza kabisa kuyajibu mswali yako ni hili; kwani wewe nani mpaka ujifarague kiasi hiki, wewe nani?
 
Na mimi siondoki mpaka majibu yapatikane.
Ni mjinga mmoja tu, ni aliyerogwa 1 tu, ni aliyelaaniwa 1 tu, ni asiye na akili 1 tu, ni hayawani 1 tu, ni mshenzi 1 tu, ni kahaba 1 tu...... anayeweza kujibu hoja za walio kuzimu, wanaosubiri hukumu ya Yuda Iskariote msaliti no 1 na wenziye wapo tz leo.

Huitajiki, hufai, hutakiwi, endelea kufanya kazi ya Alliance of CCM and Traitors Wazombi.
 
Eti ntarudi Chadema ktoka Act,wewe baki huko na hayo maswali nadhani ata CEO wenu anaweza kujibu mana katoroka na nyaraka.
 
Muda wa malumbano yasiyo na tija wanao wajinga tu!Nitashangaa hata mwenyekiti wangu wa mtaa atakuwa na muda wa kujibu kwani ni sawa na mtoto anapiga ngoma halafu anasema watu wazima wacheze ili awapime kama kweli ni wazima!Achana na CHADEMA jenga ccm kupitia act uliyopo sasa
 
Nataka kurudi Chadema mara baada ya .....

Nitayaamini maneno yanayotolewa na wanachadema siku siku haya maswali yakipatiwa majawabu







Naomba nijibiwe hayo ili nami niwe Kamanda nitakaeitetea Chadema popote.

Hayo Majawabu yakipatikana,ndio utakuwa mwisho wa Chama cha ACT-Wazalendo maana umma utaiamini Chadema na hivyo kuiunga mkono.

Kama Maswali yakikosa Majibu basi Chadema itakosa uhalali wa kutuhumu ACT-Wazalendo na viongozi wake na hivyo wananchi wataendelea kujiunga na ACT-Wazalendo kwa kuamini kuwa maneno yoyote yanayotolewa na Chadema ni Ulaghai.

Karibuni kwa majibu Makamanda ili nasi tupate chakuwaambia wananchi ili waipuuze ACT-Wazalendo.

Na wasi wasi hata huo u-Dr ni wakichina kwa maana hiyo hujafuzu na hustahili kupata majibu.
Waone akina Juliana na Mfalme wa ACT-Wazalendo watakuwa na majibu. U-Dokta wa aina hiyo ni hata kwa afya ya akili ya Wana UKAWA na JF members.

 
Back
Top Bottom