Nikiangalia uso wa Tundu Lissu namsoma namna hii...

Wivu mbaya sana.
Onawaonea wivu wananchi wa singida mashariki kupata mbunge makini na jasiri Mhe Tundu Lissu(CHADEMA)

Nenda kawaonee huruma wananchi wa Iramba wenye mbunge Mzinzi Mhe Lameck Mwigulu Nchemba(CCM) au wananchi wa Mtera wanaoongozwa na Lusinde(CCM) mbunge mwenye kujua kutukana sana kuliko wabunge wote.

nawahurumia wananchi wa hai wanaoongozwa na disko joker aka mzee wa madanguro,watoto wetu ndio wanajifunzia ushoga na usagaji pale, nawahurumia wananchi wa kawe wanaoongozwa na msagaji
 
Alikosea tu kumpa dadayake kiti maalum kule bungeni. Vinginevyo ni mjengaji mzuri wa hoja na ni imara sana katika kuzisimamia.

nini kumpa dada ake, watu wamewapa wake zao na watoto wao, kama anafaa unampa na kama amejitokeza. mlitaka cdm wawaitie magamba post! wanapewa wanaofaa waliojitokeza
 
........... ana udhati wa moyoni wa upendo wa nchi yake. Ameshaongea mengi ambayo ni makubwa na yanaweza hata kumgharimu kwa vyovyote vile lakini ameyasema. Ni mtendaji wa uhakika, hana hata chembe ya kashfa yeyote, ana uwezo mkubwa kiakili na hawezi kukosa kazi nzuri zaidi ya hii ya siasa anayoifanya akaishi maisha yake mazuri mno.

Wana JF kikubwa ninachotaka kusema, ukweli unabaki pale pale kwamba kwangu mimi Tundu Lisu ndiye mwanasiasa ninayeamini ana utashi wa dhati na ni msafi hadi moyoni mwake. Kama huwa anapitia JF basi atambue kuwa kuna mtu angalau anamtazama katika taswira ya namna hii na ajiimarishe katika hili bila kujalisha anaweza kuja kuwa Raisi wetu ama la! Thawabu zake kwa Mungu zipo.

Niilikuwa nasoma kama guest .... lakini imebidi ni log in ili nikupongeze "kwa this very useful post"

Kwa hiyo iliyoko in red, nakubaliana na wewe, mkuu Lisu aendelee kuwatumikia wananchi kwa moyo huohuo alionao...!
 
"Bora Dr Slaa awe rais kuliko huyu TL kuwa mbunge Jakaya Kikwete(2010)" Jadili kauli hii...

-kauli hii ya mr dhaifu jk ndio iliyonifanya nmpigie lissu kura na sasa naona uzalendo wa lissu.. Yeye ni hazina ya taifa
 
nawahurumia wananchi wa hai wanaoongozwa na disko joker aka mzee wa madanguro,watoto wetu ndio wanajifunzia ushoga na usagaji pale, nawahurumia wananchi wa kawe wanaoongozwa na msagaji

wahurumie pia wa tanzania kwani wanaongozwa na serikari ya wahuni, ilala mbunge muuza madawa ya kulevya, katibu ccm jangiri anamaliza tembo wetu, mwenyekiti ccm na mawaziri na wastaafu ndio walioficha ela za wizi nje ya nchi, kwanini usituhurumie watz au baba yako fisadi hivyo unana mbowe na mdee ni hatari kwa maisha yenu? Au ni kada njaa wewe? Vipi mwezi huu tayari mmelipwa maana kasi yenu imeongezeka,
 
Kuna siku Lisu alihojiwa na gazeti moja hapa Bongo akasema tangia mdogo nyumbani kwao alikuwa anapenda kuwa "critic" wa mifumo hata aliyokuwa anaiweka baba yake mzazi. Alitumia neno "rebel" kujielezea jinsi alivyokuwa. Akasema walikuwa wanajadili masuala ya siasa nyumbani kwao na nyumba nzima kuanzia baba yake walichukia uonevu wa binadamu mmoja kwa mwenzie .

Akiwa high school walitaka kucheza disco walimu wakakataa na badala yake wakaagiza iletwe taarab team. Akaongoza mgomo wa kupinga hilo suala. Akaandika article yenye kichwa "Taarab, For whose benefit?". Ile article akaibandika ubao wa matangazo shuleni. Walimu walipofanya uchunguzi ikagyndulika ni yeye kwa vile kingereza kilikuwa kizuri mno!! Basi akapewa suspension. Huyu ndio TL!!
 
..watanzania bwana ni watu wa ajabu,mnakumbuka sifa mlizompa Dr.Kabouru?mpaka wengine waliachana na wake zao wengine walipata kilema cha maisha,sasa hivi yuko wapi, kiujumla mi simwamini mwanasiasa yoyote wa hapa tz

Nimewauliza ndugu zangu wanipe wasifa na alivyofanikisha maishani. Sioni mtu anayejaribu kunipa hilo.
 
Siku zote alie nje ya kiwanja ndio anakosoa mchezaji, ngoja aingie yeye uwanjani utaona jinsi atakavyocheza, likipigwa raggae yeye atacheza blues.

Na huyo Lissu wenu ndio itakavyokuwa, mtasema afadhali ya Mrema......!

Sijakuelewa mkuu, Akiingia uwanja upi? Au unamanisha urais? Maana kama ni ubunge, muziki wake unasikika. Na kama ni urais, ni maoni tu ya mwandishi, yeye binafsi hajawahi hata kugusia kwamba anautaka.
 
Nimewauliza ndugu zangu wanipe wasifa na alivyofanikisha maishani. Sioni mtu anayejaribu kunipa hilo.

Kwao wapo safi kikawaida tu sio watu wa kutafuta mali wawe matajiri bali ni watu wenye kupenda usawa wa jamii yote
 
Nimewauliza ndugu zangu wanipe wasifa na alivyofanikisha maishani. Sioni mtu anayejaribu kunipa hilo.
Da huyu jamaa ukiambia aliyoyafanya unaweza kuogopa!!!Kaulize sekta ya madini!!!!kawaulize kimataifa kafanya yapi, yanayomtambulisha kama mmoja ya watu wenye ufahamu mkubwa sana kwenye sheria.Alipoyatamka Rais wako kuwa ni heri DK Slaa awe Rais na sio TINDU Lissu kuwa Mbunge alimaanisha hivyo kwa kuwa File la TINDU LISSU kama raia wa Tanzania na yeye kama Rais wa Taifa tayari lilishafika mezani kwake toka jumuhiya za kimataifa wakitambua uwezo wa jamaa.Tafiti utajua kwanini baadhi ya wadau wanamuona kama next Presdiential Candidate via CDM huku DK SLAA akiwa ndie the leading Candidate kwenye opposition parties.
 
Kiukweli kamanda Lisu nishuja anapambana sana kututetea wanyonge na anaamini anachokisimamia ila nafahamu AG akiambiwa katika maisha yake nani ampendi na anamsumbua akili atamtaja Tundu even madameeee atamtaja Tundu
 
Kwao wapo safi kikawaida tu sio watu wa kutafuta mali wawe matajiri bali ni watu wenye kupenda usawa wa jamii yote

Nearly all men can stand adversity, but if you want to test a man's character, give him power. [Abrahama Lincoln]
 
Back
Top Bottom