mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,526
- 1,169
Unataka kukataa......au
:biggrin1: afu huyo niliyechaguliwa sijui amekula sana kashiba au ana kwashakoo
Unataka kukataa......au
lazima hapo kuna erick52Kwa sababu macho na kichwa changu yalikuwa yameshapendeza nikashindwa kutambua hii picha, lakini kuna wengine walisema ni mods wa JF walipokuwa wadogo...... wengine wakasema ni member fulani wa Chitchat walikuwa wakiishi kijiji kimoja huko........
Hebu nisaidieni kutizama.
Tutake razi bimkubwa!!
kutoka kushoto ni BAGAH, Erickb52, mwenye bukta nyeusi ni figganigga, anayechungulia ni Young_Master na nyuma kabisa ni mtotowamjini. mia
Wabanza kuraruka iwe