Niitumie??

kaeso

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
551
96
Heshima yenu wana Chit Chat, jana jioni nimetumiwa pesa kwa M-Pesa na mtu nisiyemjua na jina limeonyesha ni la kike. Nilipoipiga namba hiyo haikupatikana mpaka sasa haipatikani.
Hapa nilipo nimeuawa vibaya mno na shilingi 200,000/- zimejileta bila jasho. Wakuu niitumie hii pesa na madhara ni yepi endapo sintaitumia au nikiitumia.
 
nakushauri uendelee kumtafuta kabla hujaila..maan anaweza juwa ni hohe hahe aliekuwa anatuma hela kwa mkewe za matibabu..sasa kwakuwa hata umeme hana kasim nako kamezima chaji..jitahidi kusubiri mkuu na kumtafuta kwani utabarikiwa.na kama ni mtego wa shetani utakuepuka..
 
Heshima yenu wana Chit Chat, jana jioni nimetumiwa pesa kwa M-Pesa na mtu nisiyemjua na jina limeonyesha ni la kike. Nilipoipiga namba hiyo haikupatikana mpaka sasa haipatikani.
Hapa nilipo nimeuawa vibaya mno na shilingi 200,000/- zimejileta bila jasho. Wakuu niitumie hii pesa na madhara ni yepi endapo sintaitumia au nikiitumia.

mkuu hapo umetufunga kamba, ME NINAVYOJUA KUWA KAMA UKITUMIWA PESA KWA MPESA AMA TIGO PESA jina ndo lina-appear na sio namba!!!!!!!!!!!! sasa cjui wewe uliiipataje hiyo namba..............:wacko:
 
Zirudishe voda,pesa ya dhuluma ni mbaya sana,na kama alivyosema mdau hapo juu ukute ni hela ya tiba au karo ya shule.
 
mmmmmh unatuuzia chai wewe.....
Hapa nasubiria comment ya laaziz wangu cacico nipate nguvu ya kuutumikia utatu vema.
 
Last edited by a moderator:
Zirudishe voda,pesa ya dhuluma ni mbaya sana,na kama alivyosema mdau hapo juu ukute ni hela ya tiba au karo ya shule.
HAPO ULIPO UNAONA DONGEEEE? UNATAMANI NEEMA INGEKUSHUKIA UWASAPULE VIZURI WATOTO WA KWENU MULEBA! SHINDWA Bishanga! kha!
 
Last edited by a moderator:
Inaniuma kwani jina lako analo ndo maana kakutumi je utaweza kulipa? Najua atakusumbua mrudishie !,000 umsikie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom