Nihurumieni mwenzenu nakufa

We Kiranga tafadhari huu uzi wa matatizo hivyo msianze hayo mambo mwenzenu anahitaji 5000 toka kwenu. Hamuelewi????? Mi sitoi ng'o!!!
We mzushi mpaka uzushi unauzushia uzushi.
Mzushi mpaka uzushi unaushuzia ushuzi.
 
Habari zenu wanajf wenzangu nina shida jamani eee Mungu wangu nisaidie niweze kueleweka nahitaji watu wenye moyo wa kujitoa wanisaidie jamani nipo karibu na mauti mimi.

Wapendwa nadaiwa pesa nyingi sana na bank na sijui wapi nitaweka sura yangu maana watu hawa wamechachamaa kweli mfukoni nina elfu 6500 tu jamani mimi nitaenda wapi natamani nijitoe uhai ila nawaza huko niendako itakuwaje nikikutana na moto wa jehanamu milele?

Wanajf nyie ndio tegemeo langu la mwisho naombeni mnisaidie deni linatakiwa kulipwa kabla mwezi kuisha la sivyo mimi nitahukumiwa jamani ohhh

Sina pa kukimbilia yeyote anayeweza kunisaidia kwa masharti yoyote nipo tayari ili mradi mimi niachane na hili deni jamani niishi kwa amani. Nahitaji watu 25 wakujitolea kila mmoja milioni moja nipate milioni 25 nilipe hii bank niishi kama watu wengine. Yeyote atakayenipa nitakua namlipa taratibu au anipe kazi yoyote nimfanyie bure na nitaifanya kwa akili na uwezo wangu wote.

Nisaidien jamani nawaomba Mungu atawaridishia mlipotoa.

I declare my interest ID hii ni mpya kwa sababu zisizozuilika.

Yeyote atakaeweza kunisaidia nipo tayari kuongozana nae hadi bank ili ahakikishe kweli ninadaiwa.

Story ya deni ilivyo
Pesa hizo ziliingizwa kimakosa kwenye akaunti yangu na bank yenyewe na mimi kwa vile nilikua nategemea pesa nikajua ndio zangu nikafanya nazo biashara na biashara yenyewe watu wamenidhulumu nimebaki sina kitu nifanyeje mimi na biashara ilikua haijasajiliwa sina haki hata ya kuwapeleka mbele ya sheria ninaowadai jamani nitakufa mimi dunia itaniua mimi
Chochote ulichonacho naomba mchango wako jamani nitafanyaje mimi sina hela nipo nipo tu natamani nikitembea gari linipitie nife hapohapo dah

maneno hayasoeki vizuri ngoja nirudie tena kabla sijachangia kitu.
 
Watu wa aina yako mpo wengi,kwa hiyo bora ufe mzidi kupungua
 
Dunia matatizo, fight tulizo kaa RIP Kizzo
Haya mengine maigizo ya ndizo sizo
We Igiza Ibiza, nakimbiza giza
Gabreselassie, uzuri wamhongela kuhasi
Common sense inatoweka kaa chura wa Kihansi
Toa ndugu toa ndugu, kimya ka sura ya bubu wa Bububu
Michango Sugu inaota kaa magugu
Chota maji Sahara kwa maneno ya kuhara
Toa kafara busara, zamisha meli Ukara
Kwa hadithi za ufala, omba sala na miamala
Ya kujenga barabara Salasala
Jishebedue ki Bedui, kimbia ka Nyambui
Sema kama hujui
Marathon Ikangaa, waache wanashangaa
Wakistikia umebugia damu mumia, wahangaaa
Piga kidachi, mpira one touch, ki Shakespeare
Usiache ushahidi kati, sitaki sikia
Jaza ujinga, hoja pinga kwa kinga inayolinda
Remba marinda kwa wanaodinda, toka kibingwa
Daresalama, kuishi karama ya kukabili gharama
Na wasanii wako wengi hawana alama
Mkuu kumbe pande hizi upo vizuri. 🙌🙆
 
Habari zenu wanajf wenzangu nina shida jamani eee Mungu wangu nisaidie niweze kueleweka nahitaji watu wenye moyo wa kujitoa wanisaidie jamani nipo karibu na mauti mimi.

Wapendwa nadaiwa pesa nyingi sana na bank na sijui wapi nitaweka sura yangu maana watu hawa wamechachamaa kweli mfukoni nina elfu 6500 tu jamani mimi nitaenda wapi natamani nijitoe uhai ila nawaza huko niendako itakuwaje nikikutana na moto wa jehanamu milele?

Wanajf nyie ndio tegemeo langu la mwisho naombeni mnisaidie deni linatakiwa kulipwa kabla mwezi kuisha la sivyo mimi nitahukumiwa jamani ohhh

Sina pa kukimbilia yeyote anayeweza kunisaidia kwa masharti yoyote nipo tayari ili mradi mimi niachane na hili deni jamani niishi kwa amani. Nahitaji watu 25 wakujitolea kila mmoja milioni moja nipate milioni 25 nilipe hii bank niishi kama watu wengine. Yeyote atakayenipa nitakua namlipa taratibu au anipe kazi yoyote nimfanyie bure na nitaifanya kwa akili na uwezo wangu wote.

Nisaidien jamani nawaomba Mungu atawaridishia mlipotoa.

I declare my interest ID hii ni mpya kwa sababu zisizozuilika.

Yeyote atakaeweza kunisaidia nipo tayari kuongozana nae hadi bank ili ahakikishe kweli ninadaiwa.

Story ya deni ilivyo
Pesa hizo ziliingizwa kimakosa kwenye akaunti yangu na bank yenyewe na mimi kwa vile nilikua nategemea pesa nikajua ndio zangu nikafanya nazo biashara na biashara yenyewe watu wamenidhulumu nimebaki sina kitu nifanyeje mimi na biashara ilikua haijasajiliwa sina haki hata ya kuwapeleka mbele ya sheria ninaowadai jamani nitakufa mimi dunia itaniua mimi
Chochote ulichonacho naomba mchango wako jamani nitafanyaje mimi sina hela nipo nipo tu natamani nikitembea gari linipitie nife hapohapo dah
Acha utapeli wewe ,nyie ndo watu msiojulikana,mnakuja humu kunasa watu waingie mkenge muwapoteze.
Kama unadaiwa na Benk,basi Benk itauza dhamana uliyoweka,maana hukupewa pesa bila dhamana.
Mko wengi humu kunasa watu pumbavu nyie,kuna mmoja alikuwa anajiita miss natafuta .
Ila wajinga mnawapata kweli.
 
Habari zenu wanajf wenzangu nina shida jamani eee Mungu wangu nisaidie niweze kueleweka nahitaji watu wenye moyo wa kujitoa wanisaidie jamani nipo karibu na mauti mimi.

Wapendwa nadaiwa pesa nyingi sana na bank na sijui wapi nitaweka sura yangu maana watu hawa wamechachamaa kweli mfukoni nina elfu 6500 tu jamani mimi nitaenda wapi natamani nijitoe uhai ila nawaza huko niendako itakuwaje nikikutana na moto wa jehanamu milele?

Wanajf nyie ndio tegemeo langu la mwisho naombeni mnisaidie deni linatakiwa kulipwa kabla mwezi kuisha la sivyo mimi nitahukumiwa jamani ohhh

Sina pa kukimbilia yeyote anayeweza kunisaidia kwa masharti yoyote nipo tayari ili mradi mimi niachane na hili deni jamani niishi kwa amani. Nahitaji watu 25 wakujitolea kila mmoja milioni moja nipate milioni 25 nilipe hii bank niishi kama watu wengine. Yeyote atakayenipa nitakua namlipa taratibu au anipe kazi yoyote nimfanyie bure na nitaifanya kwa akili na uwezo wangu wote.

Nisaidien jamani nawaomba Mungu atawaridishia mlipotoa.

I declare my interest ID hii ni mpya kwa sababu zisizozuilika.

Yeyote atakaeweza kunisaidia nipo tayari kuongozana nae hadi bank ili ahakikishe kweli ninadaiwa.

Story ya deni ilivyo
Pesa hizo ziliingizwa kimakosa kwenye akaunti yangu na bank yenyewe na mimi kwa vile nilikua nategemea pesa nikajua ndio zangu nikafanya nazo biashara na biashara yenyewe watu wamenidhulumu nimebaki sina kitu nifanyeje mimi na biashara ilikua haijasajiliwa sina haki hata ya kuwapeleka mbele ya sheria ninaowadai jamani nitakufa mimi dunia itaniua mimi
Chochote ulichonacho naomba mchango wako jamani nitafanyaje mimi sina hela nipo nipo tu natamani nikitembea gari linipitie nife hapohapo dah
Umejiunga JF uje ulize watu? Subiri wajinga utawapata tu, ujiunge October na kuanza kutembeza bakuli,
 
Watu wote jf unawajua hadi kina nape wapo humu,kuna watu watatu nawafahamu humu wana pesa kuzidi hiyo milion 30 ni zaidii,usiongelee watu

Mtoa mada kufa hafi ila cha moto atakipata
Wewe najua ninachokiandika , na najua ni viongozi gani wapo humu najua kwa nini nimeandika vile
 
Sababu ya hilo deni mbona ni ya kibashite sana?
Eti ulikuwa unategemea kupewa/kupata 25m. Fanya hivi : "ule mshiko wa 25m uliokuwa unautegemea ufuatilie ili uwalipe benki".
 
Fanya hivi, hiyo 6,500/- asubuhi nunua bundle la buku (data). Kisha 5,500/- tupia kwenye tigo pesa/m-pesa.

Download app ya 1xbet www.1xbet.com kisha fungua account humo kwa kufuata maelekezo. Kisha upload/deposit hiyo 5,000/-

Ukimaliza close app, fungua app ya Jamii Forums kisha ingia kwenye huu uzi

Wazee Wenzangu Wa Kuweka Mzigo (Kubet) - Karibuni Tubashiri Mechi Za Leo! - JamiiForums

Hapo utakutana na wataalamu wa mambo ya kuzalisha pesa kwa kucheza na intuition na lucky. Ukiwa na bahati mpaka jioni unaweza ukawa umepata pakuanzia.

kwanini ume suggest 1×bet kwamba ndio wanatoa sana au niaje
 
Poleee, ID/Account umefungua usiku saa tatu, Huu uzi umeuandika usiku huu saa tisa kamili, ngoja tukusubr mpk asubu ukanushe au laaa.... pengne unaota au n haya masimu ya tecno umelilalia limeshafungua ID lenyewe likacopy mavitu kutoka FB au kweny Msg za kawaida likaingia Jf likapest lika post, maana inaonesha umepost tu n kama lijisaa limepita hukurud tena hewan, Au ndo umepata usingz? M mwenyewe sidaiwi wala sina stress zozote lakn nimekosa ka usingz sembuse mtu anaefikiria kufaaa?

Kama n kweli, Pole sanaaa kwan huna assets zozote zinazofka hio 25M Au kukaribia? Mda wa kulipa deni kwa hiari walikupa na umeshapita? umejarb kuongea nao kwa busara ukawaeleza nia yako ya kulipa? huwez huko huko bank ukafanya kaz bure kwa mda utakaofidia hilo deni?
M25 si haba kama huna hata mia na huna mzunguko wa kuipata, ila huwez ilinganisha na uhai wako dada, una uhakika wapo serious wanataka wakufunge?

Mana Hakuna watu wenye mikwara kwenye kudai kama bank, wakikukopesha au wakikuomba ukope wanakuletea vijidada vizurii vinawaka waka, sauti nyororo, ngozi chocolate wanakubembeleza mpk ukubali kuchukua mkp mwenyewe,
Wakija kudai sasaaa.... Unaletewa njemba imefumuka usoo. Nyeusi tiii huku imevaa miwani inafunika mpk matundu ya pua, suruali kama pajama, chini bonge ya buti au raba kama za kangi, ikiingia inakua na mbwembwe na mikwara, yaan mnasalimiana huku anazima switch ukutani huku anachomoa cable za tv, fridge, extensions n.k tena anafanya kuvuta(Anashikia kule kwenye kichwa anavuta) huku anasunya, ukiangalia huo uso unaosunya waweza usahau mpk kiwango cha deni na benk uliyokopa

Unasema atakae kusaidia utampa chochote atakachotaka,
My dear sister hicho chochote baadae inaweza iwe mthan zaid ya huu utaman ukakope tena bank hata mara mbili ya hio ulipe kuondokana na chochote,
Binafsi mimi na hvyo sina familia bd, ningetoroka kwanza nikaanze kuzisaka, Kama kuna watakachofanya huko nyuma poa tu, LAWAMA HAPEWI MBUZI, siku nazipata nawaletea kwa suprise uone kama watakusumbua,

Wazee tujifunze kitu hapa, usikubar kutoka kapa
Hihihiiii...eti raba kama za Kangi🤣🤣 yani watu mna maneno aisee.. teh teh
 
Kama kweli pesa iliingizwa kwenye account yako kimakosa na wewe ulitegemea kupata hela katika siku kama hizo na unaweza kudhibitisha kuwa kweli ulikuwa unategema hela katika siku hizo, basi mtafute mwanasheria umueleze kila kitu atakusaidia sana. Sheria inakulinda sana. Nimesoma Laws related to Banking naelewa hii. Usipuuze pata msaada wa mwanasheria kabla hujaamua vingine
Yaani umemuamini!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom