Nigeria: Mke wa Rais alalamika akaunti zake za Mitandao ya Kijamii kudukuliwa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Aisha Buhari amewataka wadukuaji kuondoa taarifa za uwongo walizoweka kwenye kurasa zake za Instagram na Facebook baada ya kumdukua kwa kuwa zinapotosha Jamii.

Kupitia kusara hizo ilichapishwa taarifa kuwa Benki Kuu ya Nigeria imesogeza mbele ukomo wa kubadili matumizi ya noti za zamani za Naira, taarifa ambayo imekanushwa na Benki husika.

Mke huyo wa Rais Muhammadu Buhari amedai kuwa hiyo siyo mara ya kwanza kwa wadukuaji kuingilia mitandao yake na lengo ni kumchafua, ni jukumu la Watu wa Usalama kujua nani anayenifanyia mchezo huo mchafu licha ya kuwa anaunti yangu inatambuliwa (ina tiki ya bluu).

=================

Nigeria first lady condemns her social media hacker

Nigerian First Lady Aisha Buhari says she ordered fake news posts that appeared on her social media accounts to be deleted.

Earlier on Tuesday the Central Bank of Nigeria issued a warning about a fake press release that was shared by her accounts with incorrect information about the phasing out of old naira notes.

Mrs Buhari said in an Instagram post that this was not the first time her accounts had been tampered with:

“This person is a hacker, criminally minded with the intention to continue attacking my reputation through my social media platforms,” the wife of outgoing President Muhammadu Buhari said.

"But I am assuring you that this is the first and last I am disclaiming fake news on my handle.

“It is the responsibility of the security agencies to find out who am I sharing my social media handles with, despite being verified accounts, and take all necessary actions.”
Concerns have also been raised about the spread of disinformation ahead of Saturday’s presidential election.

Source: myjoyonline
 
Back
Top Bottom