- Thread starter
- #21
samahan kwa makwazo ujue wabongo hatjui vyote,kisw 50 na kingereza 50 nksema niandke lugha moja naweza andka vpande(broken)Yaani wewe dada mbona uandishi mbovu
namna hii
.Ndio nini hiki kuelewa mpaka usome kwa umakini sana
Kama unataka kuandika kingereza andika tukuelewe
na kama unataka kuandika kiswahili hebu tuandikie kiswahili Fasaha ili tukuelewe
Nitarudi baadae .