Nifanyeje?

Yaani wewe dada mbona uandishi mbovu
namna hii
.Ndio nini hiki kuelewa mpaka usome kwa umakini sana
Kama unataka kuandika kingereza andika tukuelewe
na kama unataka kuandika kiswahili hebu tuandikie kiswahili Fasaha ili tukuelewe
Nitarudi baadae .
samahan kwa makwazo ujue wabongo hatjui vyote,kisw 50 na kingereza 50 nksema niandke lugha moja naweza andka vpande(broken)
 
Pole sana but usijali cause maisha bado yanaendelea, umesema una mtoto wa miaka mi3 na the good thing una kazi yako sioni sababu ya wewe kuendelea na huyo mwanaume maana atazidi kukuumiza..endelea na maisha yako am sure you can stand alone..
asante sana.
 
Hao ndo wanaume wa kiswahili mama,baba yetu mmoja mama yetu mmoja,we vumilia tu mama.
 
Pole ma dada, usiendelee kuumia kwenye hakuna, coz hata ukiendelee kuvumilia mwisho wa siku utakuwa ni wakulia na Lovestress kila mara. Move on my Sisy.
 
Kitu kimoja ninachokijua kwa uhakika ni kwamba hilo janaume ni liongo.............so jiandae kudanganywa kila uchwao.
 
Pole sana kwa hayo yaliyokukuta. Hii ni situation ambayo imewapata wadada wengi sana. Nafikiri uamuzi mzuri pia unahitajika utoke kwako kwa kuangalia yafuatayo:

1. Ukweli umeupata kwamba mumeo ana mke mwingine, je uko tayari kuendelea kuwa mke wa pili?
2. Je, yeye binafsi msimamo wake uko wapi? Anakutunza wewe na familia yako? Anakujali wewe na jamaa zako wa karibu?
3. Moyo wako bado unampenda?

Ukipata majibu ya maswali hayo yanaweza kukusaidia kufanya maamuzi mazuri.

Pole.
 
Ana mme(ndoa ya kimila) na wana watoto watatu pamoja. Mwanzoni walipanga kwenda kubariki hiyo ndoa yao kanisani ila baadae mwanaume akawa hataki. Kuja kushtukia dada anasikia kwamba mwanaume ana mtoto mwingine mkubwa alozaa kabla ya ndoa yao na bado ana mahusiano na mama mtoto. Akaendelea na maisha mpaka siku moja alipopigiwa simu na kuporomoshewa matusi na huyo mama huku akidai ana mtoto mwingine wa miezi sita. Mume kuulizwa akakataa ila mwisho akakubali.

Dada akataka ndoa ivunjwe ila wakaishia kubaki pamoja, sasa ndo anafikiria kuanza upya maana hataki kufa kwa stress zihusianazo na mapenzi.

Mpe ushauri mwenzio sasa.

They have a daughter of 3 years old together.
 
kimbia faster kaanza upya tafuta wa kwako peke yako hata kama kushare sio kihivyo mtu anakuwa mpaka na watoto na bado anaongeza wengine.
 
sikiliza moyo wako.......
Bado una nafasi ya kuanza maisha yako.....huyo mumeo anaonekana si mwaminifu.....atakusumbua......

Kama umeamua kuanza maisha yako mwenyewe kuwa huru, songa mbele
 
Asanten wapendwa kwa mawazo yenu,kwanza imenpa moyo kwamba maamuz yangu yatakuwa ya haki,pili ile hofu ya kuwa ni mdhambi kwa mwanamke mwenzangu imetoka mana ni dhahr mdhambi ni huyu baba..zaidi ctaraj kuolewa tena mana km mtoto ninae tayar na zaid i now regard all men equal the difference is on their names(naomba nsmkwaze mwanamme yeyote jamvin kwa statement hii) inaniumiza sana hii k2. Again,much of thanx to u all for ur heartfelt idea.

mwanamke bila mwanaume inawezekana lakini si opposite!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom