Nifanyeje,nahisi kuchanganyikiwa

Hawezi kuahirisha ndoa? Maana nafikiri ni lazima amwarifu mke wake mtarajiwa kuhusu mtoto wake kabla ya ndoa kufanyika, ili mke ajue kwa kweli anayeolewa naye ni mtu wa aina gani. Akae naye akamwambia kwa utulivu na utaratibu mke asishtushwe mno. I guess naye angetaka kujua mapema yawezekanavyo kama mke angekuwa na mtoto nje, basi amtendee kama vile naye angetaka kutendewa...
Kutoka na mwenendo wake, yaonekana mke anajua tayari anyway, labda anataka rafiki yako amwambie yeye mwenyewe ili kujua kiasi gani anaweza kumwamini.

sijamuuliza khs kuhairisha ndoa,i will tok to him abt that thnx.
 
Ni vizur jamaa akamface mtarajiwa wake akamwambia ukwel kabla hajafahamu mwenyewe,atafute sehemu ya utulivu na kwa upole amwambie kila kitu...KITANDA HAKIZAI HARAMU woga wa nin?
 
ni vyema ukamwambia mtarajiwa wako. Umuombe radhi na mweleze ukweli. Ili akubali hali halisi mapema na ajitune kisaikolojia. Pia uweze kuwa huru kumhudumia mwanao.

Kumbuka kama mama wa mtoto wako ni mtata, na mkorofi na huyo mtoto ni wa kike mkeo mtarajiwa ana kazi kubwa sana ya malezi, ni vyema na wewe ukajiandaa, kuna dalili ya mtoto kulishwa sumu(maneno mabaya) na mama yake ili amchukie mama yake wa kambo.
 
pole kwa yote ila ninachokiona hapo huyo dada anafahamu ila hajataka kukuuliza, cha msingi mueleze ukweli vinginevyo huyo mtarajiwa anazidi kuumia moyoni. hata mimi huwa nina tatizo la kukaa kimya bila kuuliza baada ya kugundua kitu but huwa inaumiza sana
 
kuwa muwazi,mweleze ukweli kuwa una mtoto,ila nakupa tahadhari ,wengi ya wanaume wanaozaisha watoto wa watu na kutowaoa halafu baadae ukapata mwanamke mwingine ukaoa,mwisho wa siku unaweza kujutia uamuzi wako-by that time inakuwa too late!mifano ninayo tena mifano halisi!
 
kuwa muwazi,mweleze ukweli kuwa una mtoto,ila nakupa tahadhari ,wengi ya wanaume wanaozaisha watoto wa watu na kutowaoa halafu baadae ukapata mwanamke mwingine ukaoa,mwisho wa siku unaweza kujutia uamuzi wako-by that time inakuwa too late!mifano ninayo tena mifano halisi!

mh iyo imeniogopesha mkuu,ila kumbuka hakuwa na mpango wa kuishi na yule mwanamke,na mwanamke alilitambua ilo kabisa na akatengeneza mazingira ya kupata mimba makusudi kabisa
 
subiri ajifungue ndio umwambie. japo ulifanya vibaya kutomwambia mapema.
 
subiri ajifungue ndio umwambie. japo ulifanya vibaya kutomwambia mapema.

Angoje mke ajifungue kwanza kwa sababu gani? Je hufikiri kwamba ni contradiction kusema alifanya vibaya kutomwambia mapema lakini sasa ni bora angoje?
 
nimetake his position ili kutochanganya kiswahili
Mimi unanikasirisha unapoamua kutudanganya hata sisi, mfano mimi ni mshikaji wako nashangaa kwanini ufanganye wakati najua hii issue na ni yako mwenyewe, unaonyesha ni jinsi gani hujiamini.
OK, twende kwenye issue wewe mweleze huyo mchumba kwani kesha soma mawasiliano yako na anajua kila kitu, yaani fasta mweleze.
Pia nimefurahi kwani inaonekana unampenda kwa dhati, na ulifanya vizuri kuchukua uamuzi wa dhati kwa yule wa kwanza.Mweleze tu atakusamehe!
 
Back
Top Bottom