BongoLogik
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 260
- 44
tafadhali kwa yeyote anayeweza kunisaidia: ni kwamba ninayo CD yenye software ya program ya virtual DJ(atomix productions) ambayo nili-install kwenye computer yangu(windows XP) na ikawa inafunguka na kufanya kazi vizuri,kuna siku nilipotaka kuitumia hiyo program huku computer ikiwa connected kwenye internet ikani-prompt kama nataka newer version ya virtual DJ na nikabofya OK, baada ya hapo nilipotaka kufungua hiyo program ikawa inanitaka niingize serial number ya product lakini nikiingiza haifunguki, nikajaribu ku-remove hiyo program na ku-disconnect computer from the internet then nika-install upya program mchezo bado ni ule ule haifunguki! na nilipojaribu ku-install kwenye computer nyingine inakubali kufunguka, kwa nini kwenye computer ya awali haikubali tena? nifanyeje kutatua tatizo hili? naomba msaada wenu wadau.