Nifanyeje baba yangu mzazi ajue kwamba mimi ni mwanae?

EMT kama nilvyosema post # 375, niliiandika kabla sijasoma post yako.
ukweli i need a psychologist manake kila nikisema niipotezee nashindwa. najiamini katika kukansel wenzangu lkn hili nimeshindwa kuujikansel, nashindwa kuwithstand internal pressure.

niliacha kuliwaza hili nikaenda kufanya kazi nyingine but nimeishia kumwaga machozi kama mtoto mdogo, nafsi yangu inahamalika sana sijui nyuma yake kuna nini lkn kuna msukumo wa dhati kabisa kwamba niende nimwambie. kila nikichunguza sion wapi ambapo pamepelea kwamba ninahitaj apajaze lkn nakuta kwamba nasukumwa kumwambia tu akubali akatae its ok with me.

nisaidie njia nyepesi ya kuliendea hili. jana Nyani Ngabu alinishauri vyema na Nguruvi3 lakin sasa nisomapo mawazo ya wengine naona najazwa woga sana

uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, mwenzenu basi tu natamani ardhi ipasuke niingie basi niwe salama.

Usikalie tatizo hasa kama likianza kuathiri maisha yako ya kila siku.
 
Ndugu zangu mmenishauri mengi sana sana lkn jamani kila nikisema niipotezee nafsi inakuwa ngumu kukubali.
nimelog off nikatafuta cha kufanya nilipomaliza still akili imerudi pale pale.

jamani you pple with my age dont you think that its ok for I to go and talk to him??
je kweli pasi kusema naweza kuwa na moyo thabiti na nikafa sina kinyongo??

Hakuna anaeweza kukujibu maswali hayo kwa uhakika maana hakuna aliye wewe.

Wewe ushaamua kumtafuta, hivyo endelea.

Cha msingi ni kujiuliza kihaki lilahi nafsini ili uelewe kwa nini umeamua kumtafuta.

Kwa sababu hisia zote ulonazo, msingi wake upo hapo
 
ahsante sana Gaijin
 
Last edited by a moderator:
kama bado hujajua kwanini unamtafuta HAKUNA KWENDA!
na post zako zote hujasema kwanini unamtafuta!
BELIEVE ME YU!
HUMTAFUTI KWA KUWA UNATAKA AJUE UPO!
so sad kuwa SABABU YA KUMTAFUTA UTAIPATA THE MOMENT UTAENDA KUMWAMBIA!
so maamuzi bado ni yako,sikai na wewe,silali na wewe,sishindi na wewe so siwezi kukuzuia!
ila kwa kuwa nipo wakati wote for yu to cry on and for yu to laugh with,
IM THERE!
kila la kheri mumiie
 
Daaaaaaahh kwa mara ya kwanza nimehisi kuiexpirience hivi kitu live kwani nimezoea kuviona kwenye tamthilia zetu za akina mara clara kumbe hata huku kwetu hayo yapo!!!!!!!!!!

Kwanza pole sana dada gfsonwin kwa mazito yaliyokukuta na pia naomba nitoe asante ya niaba kwa kututhamini sana wana jf na kutuona wa maana na wenye sehemu katika mambo yako hivi kwamba umeona utushirikishe katika hili jambo lilizo zito mfano hakuna.

Moja kwa moja kwenda kwenye hoja ninachoshauri mimi ni hiki hapa kuna maamuzi ya aina mbili unayoweza kuyafanya

1.Jaribu kukaa chini na mama yako akiwa na mood nzuri ya kuweza kuteta juu ya jambo na kisha kwa hekima na upole mweleze jambo uliloligundua kuhusu baba yako na jinsi ulivyopata kulijua jambo hilo,afu uone mwitikio wake kuhusu jambo hilo,ikiwa atakuitikia vizuri na kuamua kulifungukia swala hilo basi unaweza kumuuliza maswali kama vile kwa nini hamkuishia kuwa pamoja?je anafahamu kuwa wewe na yeye mliwahi kupata mtoto?kama anafahamu hilo je kuna jitihada zozote alizowahi kuzifanya kujaribu kumtafuta huyo mtoto?baba yako mlezi analijua jambo hilo?

Ikiwa hataki kuongelea jambo hilo usimlazimishe ila unawez kujaribu kupeleleza kwa hao waliokuambia huenda wana baadhi ya fununu kuhusu wazazi wako hao kutoishia kuwa pamoja kma familia na hiyo kujikuta wewe unalelewa na baba mlezi.

Ukifanikiwa kupata majibu yanayoonyesha kuwa haikuwa makusudi wewe kutomjua yeye au hakujua ikiwa aliwahi kupata mtoto na mama yako{hilo linawezekana kwani baadhi ya mama huamua kuuficha ukweli kwa wanaume waliowapa mimba eiza kwa sababu nzuri au kwa kufikiria visivyo au hata pengine uchonganishi wa watu ie ndugu marafiki au tu wafitini,kama unaangalia MY ETERNAL utakuballiana nami katika hilo}na hata labda alipojua kuwa aliwahi kuwa na mtoto pamoja na mama yako ila alijaribu kukutafuta bila mafanikio,au labda kulikuwa na sababu nzuri tu za wao kutengana kama vile kuchonganishwa na hivyo kuleta uadui baina yao hivi kwamba ikawa si rahisi kuambiana mambo yao na hivyo wewe kuishia kulelewa na baba mlezi na sababu nyinginezo ambazo wewe binafis huenda ukaona zina uzito,unaweza kuchukua hatua ya kujitambulisha kwake kama unamjua na kama kwa kweli aliwahi kufikiria juu ya jambo hilo bila shaka atafurahi kujua kuwa aliwahi kuzaa na mwanamke aliyempenda{hasa ikiwa alimpenda mama yako sana,kwani wanaume wengi hufurahi zaidi wanapozaliwa na wanawake wanaowapenda}huenda ikawa vigumu kwake kukubali mwanzoni na hii ni kawaida karibu kwa mtu yeyeote anyekutwa na kmkasa huo lakini siku hizi kuna vipimo vya kisayansi{DNA} ambapo mnaweza kupima na kumwezesha baba yako huyo kuwa na uhakika kuwa wewe ni mtoto wake.

Lakini kumbuka hili wakati wote huo unapofanya hivyo angalau ni vyema ukimjulisha baba yako mlezi juu ya kutafuta kwako ukweli naye kama ni muwazi na amekulea kama watoto wake wengine huenda akajribu kukuuliza maswali kama vile kwa nini umeamua hivyo mwanangu?nimekukwaza nini mwanangu?au je ikiwa kweli utajulikana utaniacha mimi baba yako na kumfuata yule?ambapo unaweza kumweleza wazi kuwa sio kuwa hupendezwi naye ila kutokana na fununu ulizozipata hivi karibuni ungependa kujua ukweli kwani jambo hilo linakusumbua na itakubidi umhakikishie kuwa bado unampenda sana na unamtahmini kama baba yako siku zote kwani ndiye aliyekukuza na pia umhakikishie kuwa kuujua ukweli hakutabadilisha ukweli wa kuwa yeye ndiye aliyekulea na wewe kumjua kuwa ndiye baba yako sikuzote.kwa kufanya hviyo nina uhakika kuwa hatakuwekea kinyongo na atakupa baraka zake pia kuliko ukiamua kuutafuta ukweli kimya kimya bila kumtaarifu kwani akija kujua hapo baadaye ataumia zaidi na tahisi kuwa kuna upungufu kwenye namna aliyokulea na hivyo ataumia moyoni.

2.Ukifanya uchunguzi na kugundua kuwa baba yako hakuwa mtulivu ujanani mwake na hivyo kumwacha mama bila kuwa na habari amekubeba wewe na hata ulipozaliwa hakutaka kukutafuta unaweza kuondoa kabisa wazo la kujitambulisha kwake kama mwanaye kwani hilo litakuumiza zaidi.

Hitimisho langu ni kuwa dada gfsonwin naomba maamuzi yako ya kujitambulisha kwake yategemee uchunguzi utakaoufanya na kupata majibu yatakayokupa GO AHEAD au STOP.

Asante na pole tena.
 
Last edited by a moderator:
kama bado hujajua kwanini unamtafuta HAKUNA KWENDA!
na post zako zote hujasema kwanini unamtafuta!
BELIEVE ME YU!
HUMTAFUTI KWA KUWA UNATAKA AJUE UPO!
so sad kuwa SABABU YA KUMTAFUTA UTAIPATA THE MOMENT UTAENDA KUMWAMBIA!
so maamuzi bado ni yako,sikai na wewe,silali na wewe,sishindi na wewe so siwezi kukuzuia!
ila kwa kuwa nipo wakati wote for yu to cry on and for yu to laugh with,
IM THERE!
kila la kheri mumiie
jamani mbona sioni sabbau nyingine yyte zaid ya yy kumjulisha kwamba yule alimwacha bila hata kurudi nyuma yupo??
embu niambie mpendwa wangu ukweli hata kama ingekuwa wewe usingeona sabbau ya wewe kwenda??
jiulize ungekubali kuish maisha ya kujilaumu kila siku?? manake naish nikijiuliza nikimwambia akikataa itakuwaje?? lkn upande mwingine nasema abda nikimwambia atakubali na pengine alikuwa anatafuta nafasi kama hii??
 
TIMING uhakika ya kwamba huyu ni baba mzazi najua kadi ya klinik isingeongopa, picha wakati niko tumboni walizopiga na mama zisinge ongopa.

swali ni kwamba sijui exactly kilichomfanya mama akamfuta kwenye maisha yangu.
ingawa najua kwamba baba aliye nilea alinipa hadi jina lake na leo hii sioni kama nina shida yyte ya kuitwa jina lake.

Nijuavyo mimi huyo bwana angekua mwanaume kweli bsai angefanya namna yoyote muonane hata kama ni informal if his name appears in your certificates... Otherwise bado tunazunguka Pandora box tu

What if (and i dont mean any insult here), kwamba mzee aliingia mitini baada ya kujua kwamba hata yeye alitupiwa tu cross???

I think what you have gathered here in JF is sufficient wewe kuamua uanzie wapi; and i believe that you are mature and wise enough to pick the best route to do this... i do also believe kwamba wewe ni intelligent enough not to ruin all families involved

sometimes a few people follow troubles all over and blame other for the outcome, i hope you are not one of them
 
jamani mbona sioni sabbau nyingine yyte zaid ya yy kumjulisha kwamba yule alimwacha bila hata kurudi nyuma yupo??
embu niambie mpendwa wangu ukweli hata kama ingekuwa wewe usingeona sabbau ya awewe kwenda??
jiulize ungekubali kuish maisha ya kujilaumu kila siku?? manake naish nikijiuliza nikimwambia akikataa itakuwaje?? lkn upande mwingine nasema abda nikimwambia atakubali na pengine alikuwa anatafut nafasi kama hii??
ahaahhahahahahah NILIJUA UNGEFIKA HAPA!
sasa tunaweza kuongea biashara!
ENHE UNATAKA UNASABA SIO!
UNAHISI WALIO KARIBU YAKO HAWAKUJAZI SI NDIO?
UNAAMINI UNGEKUWA BETTER OF UNGETAMBULIKA KAMA BINTI FULANI SIO?
UNAKIRI KUWA KUNA MAHALI UNAKOSA UNAYOAMINI NI HAKI YAKO SI NDIO?
UNABISHA KUWA MAISHA YAKO SI HAYO YAPO MENGINE YANAKUSTAHILI?
well now my pretty!
welcome to my board!TWENDE KAZI TWENZETU TUKAMFATE MSHUA!
 
kuna kitu unakitafuta, sio recognition tu, kwa nini hukumtafuta ulipokuwa chuo, why now, kwa sababu ni waziri?

hebu jajibu kujali hisia za waliokupenda bila mipaka na kukufanya ukawa wewe wa leo, unadhani wangekubagua toka upo mdogo hata hiyo tv ya kumuona mdingi ungeitoa wapi?
 
Nijuavyo mimi huyo bwana angekua mwanaume kweli bsai angefanya namna yoyote muonane hata kama ni informal if his name appears in your certificates... Otherwise bado tunazunguka Pandora box tu

What if (and i dont mean any insult here), kwamba mzee aliingia mitini baada ya kujua kwamba hata yeye alitupiwa tu cross???

I think what you have gathered here in JF is sufficient wewe kuamua uanzie wapi; and i believe that you are mature and wise enough to pick the best route to do this... i do also believe kwamba wewe ni intelligent enough not to ruin all families involved

sometimes a few people follow troubles all over and blame other for the outcome, i hope you are not one of them

toka mama ana mimba yangu, aliandika jina la baba ni yeye na nilipozaliwa kabla sijabatizwa niliitwa kwa jina lake but nilipobatizwa baada ya kuwa tayari mama anaish na baba mlezi nilitumia jina la baba mlez na mpaka wa leo ndilo nitumialo.

sina nia mbaya ya kuruin maisha ya mtu yyte na natamani hata nitumie njia ya mimi na yeye tu ili akikubali/akikataa iwe poa lkn niwe nimetua mzigo ulioko nafsini mwangu basi.
 
my dearest binafsi sijui kwann akili inataka tu ajue kwamba ninaish, sitegemei kwa 100% anikubali ingawa pia ningefuraha kama tu akikubali kwamba mm ni mwanae.
Nakutakia heri katika hilo unalotaka kifanya.
 
kuna kitu unakitafuta, sio recognition tu, kwa nini hukumtafuta ulipokuwa chuo, why now, kwa sababu ni waziri?

hebu jajibu kujali hisia za waliokupenda bila mipaka na kukufanya ukawa wewe wa leo, unadhani wangekubagua toka upo mdogo hata hiyo tv ya kumuona mdingi ungeitoa wapi?

ingekuwa ni kumtafuta nisinge mtafuta leo akiwa waziri manake uwaziri sio wa mwaka huu ama wa mwaka jana.
labda ningemtafuta nilipokuwa chuo akiwa mkurugenz ili anisaide kimaisha lkn sikufanya hivyo.
ningekuwa nataka kumsaliti baba aliyeilea naamini wakati wa ndoa yangu ndipo ningetoka na kwenda kumsaka for real lkn ingawa nilikuwa pressurelized sana sikufanya hivyo.

nilimpa huyu baba yangu mlezi stahili zake zote na yy sikuwa na muda naye. kinachonifanya nmtafute kiko katika ukamilifu wangu tu kwamba ajue kwamba nipo na ni mtu mzima sasa. tena iwe safe hata kwa wanangu ambaoa kwa sasa ni wakubwa.

yaani status yake ya uongozi kwangu sio ishu kabisaa manake ingekuwa deal ningefanya alipoupata the soonest lkn sikufanya hayo.
 
ahaahhahahahahah nilijua ungefika hapa!
Sasa tunaweza kuongea biashara!
Enhe unataka unasaba sio!
Unahisi walio karibu yako hawakujazi si ndio?
Unaamini ungekuwa better of ungetambulika kama binti fulani sio?
Unakiri kuwa kuna mahali unakosa unayoamini ni haki yako si ndio?
Unabisha kuwa maisha yako si hayo yapo mengine yanakustahili?
Well now my pretty!
Welcome to my board!twende kazi twenzetu tukamfate mshua!
mke mwenza hivi mume wetu alikuwa na title gani vile?? Jamani nimeumia kusikia upuuzi huu, maana sitamani hata kidogo kuona wababa waliolea watoto wao wa nje wakiumia, eti kisa mtu amekuwa anataka sasa kumjua baba, mbona hakutafutwa wakati unang'oa meno?. Mbona hakuwepo ulipokuwa unaanza kugegeddwa akakuripia na kukuonya,

amefanya kazi mtu mwingine ya kukufikisha hapo, bila kuikwaa miwaya, Ukaolewa mzimaaaaa! Leo ndio oooo babangu ana ukoo na obama namtafuta, ooo babangu ndiye jemedari kikosi maalum ruvu namtafuta! Oooooo,,,,,, ooooooo! Tufiakwa gfsonwin! Shindwaaaaaaaa! Umenihuzunisha!
 
ahaahhahahahahah NILIJUA UNGEFIKA HAPA!
sasa tunaweza kuongea biashara!
ENHE UNATAKA UNASABA SIO!
UNAHISI WALIO KARIBU YAKO HAWAKUJAZI SI NDIO?
UNAAMINI UNGEKUWA BETTER OF UNGETAMBULIKA KAMA BINTI FULANI SIO?
UNAKIRI KUWA KUNA MAHALI UNAKOSA UNAYOAMINI NI HAKI YAKO SI NDIO?
UNABISHA KUWA MAISHA YAKO SI HAYO YAPO MENGINE YANAKUSTAHILI?
well now my pretty!
welcome to my board!TWENDE KAZI TWENZETU TUKAMFATE MSHUA!

sitaki unasaba manake huo upo.
sihitaj recogition manake haito add valu eyyte kwenye maisha yangu.
ila nataka kujiweka huru nafsini mwangu kwann nife na kihoro?? kila siku namuwaza mtu ambaye sina hakika na reaction yake??
 
mtafute kama ni baba lakini tafadhali usiweke mategemeo yoyote, utakachopata kutoka kwake ndio majaaliwa lakini tafadhalix2 usiwache kumpenda baba mlezi na jaribu kuvaa viatu vya mama yako
 
mke mwenza hivi mume wetu alikuwa na title gani vile?? Jamani nimeumia kusikia upuuzi huu, maana sitamani hata kidogo kuona wababa waliolea watoto wao wa nje wakiumia, eti kisa mtu amekuwa anataka sasa kumjua baba, mbona hakutafutwa wakati unang'oa meno?. Mbona hakuwepo ulipokuwa unaanza kugegeddwa akakuripia na kukuonya,

amefanya kazi mtu mwingine ya kukufikisha hapo, bila kuikwaa miwaya, Ukaolewa mzimaaaaa! Leo ndio oooo babangu ana ukoo na obama namtafuta, ooo babangu ndiye jemedari kikosi maalum ruvu namtafuta! Oooooo,,,,,, ooooooo! Tufiakwa gfsonwin! Shindwaaaaaaaa! Umenihuzunisha!

hilo nilijua kwamba utafika hapo............lkn simtafuti kisa cheo chake manake ningekuwa hivyo ningeanza since alipoupata tu uongozi tena hata mahari asingalipokea baba alonilea. leo hii pashakuwa asbh kesho anaachia ngazi ndipo nishoboke??

nataka kujiweka huru nafsini mwangu basi.........nataka nisiendelee kumuwaza na kutokumuwaza ni kumwambia ukweli.
 
Back
Top Bottom