mkuu jaribu kutoa maelezo ya kina, kwa maelezo yako watu watashindwa wakushauri nini, labda nikuulize unakiasi gani ? na unafanya kazi gani?Habari zenu wapendwa!
naomba niwaulize nnaweza kufanya biashara Mtwara au kati ya Mtwara na Dar?
Naomba mnisaidie plz?