nifanye biashara gani mtwara?!

tinya

Member
Jan 4, 2010
77
30
Habari zenu wapendwa!

naomba niwaulize nnaweza kufanya biashara Mtwara au kati ya Mtwara na Dar?

Naomba mnisaidie plz?
 
Habari zenu wapendwa!

naomba niwaulize nnaweza kufanya biashara Mtwara au kati ya Mtwara na Dar?

Naomba mnisaidie plz?
mkuu jaribu kutoa maelezo ya kina, kwa maelezo yako watu watashindwa wakushauri nini, labda nikuulize unakiasi gani ? na unafanya kazi gani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom