Nifanyaje ili niweze kumvutia mwanamke

kama pesa ninazo za kutosha lakini siwapati Ata sijui nakosea wapi
Huna pesa wewe, ungekuwa nazo usingekuja kuandika mashudu,mademu wenyewe hawa ukiwa na hela ya kula tu na ghetto lenye subwoofer na tv flat 32" tu utawakimbia.

Kitu cha pili angalia status yako (type) usikute wewe ni type za manifongo/msaga sumu kisha unataka mademu classic ambao hawababaiki na fedha wao wanashoboka kwa kina Hey bay bay wauza manyago,wavaa supra, jinsi za kubana,wavaa vipuri na wapaka poda/lipshine.
 
Jamani mi nikijana WA miaka 19
Ata sijui ninatatizo gani kila nikijaribu kumtongo mwanamke ukataa sasa sijui huwa nakosea wapi naombeni msaada wenu
soma kwanza upate elimu na maarifa ya kutongoza na pia kujikimu kimaisha mwone 19yrs unatongoza??
 
aka kadogo kajinga sana...miaka 19...unatongoza wakati ndo muda wa kusoma...huna akili hata kidogo


Sasa kama una miaka 19..unatongoza wa miaka mingapi ? si kama unatafuta jera
 
Jamani mi nikijana WA miaka 19
Ata sijui ninatatizo gani kila nikijaribu kumtongo mwanamke ukataa sasa sijui huwa nakosea wapi naombeni msaada wenu
nenda shule kasome dogo huo umri unatakiwa kuwa chuo unakula book sio kutuchosha wazazi wako humu
 
Miaka 19????? na huyo mwanamke atakaekuja kukubalia hana akili maisha yake yote
 
Jamani mi nikijana WA miaka 19
Ata sijui ninatatizo gani kila nikijaribu kumtongo mwanamke ukataa sasa sijui huwa nakosea wapi naombeni msaada wenu


Hakuna mwanamke asiyependa kuangalia sinema ya ngono. Uwe unavaa suruali kama za Diamond Platinumz yaani zile za kubana mpaka mapumbu ukiongea unaongea kwa kubana pua maana utashindwa kupumua. Usiwe unavaa chupi, halafu uwe unavaa shati fupi ili ukitembea mapumbu na dushe lako yawe yanachoreka. Hapo wanawake utawaokota mpaka utaona kero.
 
Muonekano Madada Wanapenda Watu Smart Nje Hadi Ndani Hunatakiwa Usiwe Mchafuchafu Au Kuwa Kama Mhuni Fulani , shughuli unayofanya (source of income) , Nayo Huchangia Demu kumkubali MTU Fulan Kwa Mfano Mim Demu Niliye Naye Kavutiwa Na kazi Yang
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom