Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,023
- 26,368
WANGA walisema "MTAACHANA TU"
Yametokea.
Yametokea.
Sio la pipi kifuaHuwezi kuwa mgeni bwana, hili jambo si unalizungumziq kila mara Tayana😀😀
Nipo, ingawa Kwa nadra.Thank you
Happy new year
Jamni huonekani
Nilivyokuwa nampenda The Bold aisee, na hata yeye anajua. Sema sa hivi kesha zeeka!
Sifa ya mwanamke ni Moja tu mtii na kumuheshimu mwanaume! Niffer ukajikuta unampenda, pole sana kwa kuumizwa shwaaaah
Sijawahi kuwa na dhiki ya uchi kihivyo bro.sasa watu wasipige kisa nini ? zama PM uka jipigie
HahahaDahhhh....
Ukweli nimesikitika sana, maana mimi ni kati ya wachache waliokua wanatamani kuona mahusiano yenu yakidumu na kufika mbali zaidi.
Amini Babu, nampenda kiukweli kabisa.Kweli nimeamini Mkwe wangu umempenda kikweli kweli
Nakumbuka wakati namwoa Bibi yenu mwaka 1976 nilimwambia sina hela ya kulipia mahari babe wako japo nakupenda
Akaniuliza kwani una shilingi ngapi...nikamwambia nina shilingi 50 tu
Basi akaenda kwao akawaambia Wazee wake wanitajie mahari ya shilingi 65
Hizo shilingi 15 za ziada nimekuja kuzilipa mwaka 1982 🤗
Trust meHahaha
Waachane mara ngapiHivi na wale CC wapo wapo au ndo mtaachana tu.mdomo komaa.
Ujue mwanaume kusutwa haipendezi
Weh, yule nitaweza hata kuandika tukiachana? Mtakuwa mmeshanizika!