Nielewesheni jinsi ya kujiunga advance level U.S.A

My Mud

Senior Member
Oct 5, 2012
108
17
Hi every body!
naomba ufafanuzi hapa,ukitaka kwenda kusoma marekani kwa level ya advance secondary ni shart uwe na level ipi ya elimu ya hapa tanzania? na ukisoma advance ya marejani unaweza kujiunga na chuo kikuu cha Tz na kupata mkopo?thank you.
 
Unataka kwenda kama Mwanafunzi wa A level au kinakupeleka kitu kingine?
 
Hi every body!
naomba ufafanuzi hapa,ukitaka kwenda kusoma marekani kwa level ya advance secondary ni shart uwe na level ipi ya elimu ya hapa tanzania? na ukisoma advance ya marejani unaweza kujiunga na chuo kikuu cha Tz na kupata mkopo?thank you.
advance sec US?
 
Back
Top Bottom