Unataka kwenda kama Mwanafunzi wa A level au kinakupeleka kitu kingine?Hi every body!
naomba ufafanuzi hapa,ukitaka kwenda kusoma marekani kwa level ya advance secondary ni shart uwe na level ipi ya elimu ya hapa tanzania? na ukisoma advance ya marejani unaweza kujiunga na chuo kikuu cha Tz na kupata mkopo?thank you.
advance sec US?Hi every body!
naomba ufafanuzi hapa,ukitaka kwenda kusoma marekani kwa level ya advance secondary ni shart uwe na level ipi ya elimu ya hapa tanzania? na ukisoma advance ya marejani unaweza kujiunga na chuo kikuu cha Tz na kupata mkopo?thank you.
kwenda kusoma a level secondary schlUnataka kwenda kama Mwanafunzi wa A level au kinakupeleka kitu kingine?
Malizia Tanzania itakuwa rahisi kujiunga na Chuo, lakini sio A level.kwenda kusoma a level secondary schl