nicheki...!!!!!!

Basically

Member
May 9, 2009
30
0
bebz.jpg

source: Michuzi
 
Ndio zake kushikwa shikwa kitambi halafu anamwaga mshiko maana hata akipewa kitumbua hawezi kukila na mtumbo wote ule
 
Nakuona umetokelezea mzee mzima totoz kwa pembeni wakati ni wako huu fanya kweli Komba!
 
Kweli hela nouma maana kama siyo hela kipipa kama hiki sidhani kama kingepata vibinti kama hivi vyakukichezea hicho kitambi kama hivyo
 
Kila Doki anapo simama au kuimba jukwaani mkao wake na anavyo simama vinanipa mashaka sana...kama anabana kitu nyuma....washamharibu...!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom