Ni wizara ngapi za serikali tayari zimehamia na kuendesha shughuli zake Dodoma?

mkuu, lazima uelewe kuwa hii ni awamu ya matamko matamu matamu kama maziwa na asali
Ila utekelezaji sufuri .......viongozi wanafanya kazi kwa woga...hata wale wenye taaluma yao, wamekubali kufikiri kwa mwendokasi.....ni aibu kubwa sana....
 
Aisee,yasije yakahairisha tu kwenda huko Dom,maana tumeshawachoka na misafara isiyo na tija,wanatugandisha kwenye foleni masaa 3 kumbe mkubwa anaenda kupokea madawati yenye thamani ya 12m, wakati ruti yake imegharimu 45m.
 
Elewa mantiki. Waziri mkuu alisema anahamia septemba. Kuna wizara ikiwemo ya kilimo na mifugo ilisema inahamia "wiki ijayo". Sasa wiki ijayo ya wiki ile imeshapita, ndio mdau anauliza kama hizo wizara za "wiki ijayo" zimeshahamia...
Kwani hukusikia lile tamko la RC lililositishwa uhamiaji wa wizara dom mpaka ile timu iliyoteuliwa na PM imalize kazi?by the way PM ameshasema by sept 1 atakuwepo dom na wizara zilizopo katika ofisi yake
 
Ok, asante kwa taarifa. Hiyo inapigia msitari kwamba kuna mawaziri walikurupuka kuamrisha wizara zao zihamie Dodoma ili "wampiku" waziri mkuu.
 
Back
Top Bottom