Ni wizara ngapi za serikali tayari zimehamia na kuendesha shughuli zake Dodoma?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
mtakumbuka kuwa wiki chache zilizopita mawaziri Wa wizara mbalimbali walionekana kuitikia kwa moyo mweupe suala la kuhamia dodoma kama lilivyokuwa limetolewa na mh Raid,
kwa wenye taarifa ya kinachoendelea katika vuguvugu la kuhamia Dodoma (twe zetu Dom) kwa sasa, mtujuze ni wizara ngapi kati ya zile zilizotangaza kuanza kuhamia na kuendesha shughuli zake huko na tayari zimefanya hivyo?

HAPA KASI TU
 
Wamehamia kiroho tu ila kimwili bado wapo saridalama
 
mtakumbuka kuwa wiki chache zilizopita mawaziri Wa wizara mbalimbali walionekana kuitikia kwa moyo mweupe suala la kuhamia dodoma kama lilivyokuwa limetolewa na mh Raid,
kwa wenye taarifa ya kinachoendelea katika vuguvugu la kuhamia Dodoma (twe zetu Dom) kwa sasa, mtujuze ni wizara ngapi kati ya zile zilizotangaza kuanza kuhamia na kuendesha shughuli zake huko na tayari zimefanya hivyo?

HAPA KASI TU
Hii inanikumbusha enzi za Mzee Lubuva na BVR mwchines. Magazeti ya Ukawa yalilamika SIKU YA KWANZA kuwa uandikishaji ni usumbufu mtupu Mhe. Mnyika akaomba Bunge liache shughuli zake wajadili BVR. Sasa na kuhamia Dodoma imetangazwa juzi jamaa tayari wsnahoji mbona hakuna kitu? By the way, BVR ziluankishwa xote wakavuka malengo by significant margin. Na Dodoma hivyo.
 
Mwenye mkoa wa kule atakuwa hatoshi, tuna mpango wa kuwaazima maconductor aka facilitate hili suala kwa spidi ya ajabu.
 
Hii inanikumbusha enzi za Mzee Lubuva na BVR mwchines. Magazeti ya Ukawa yalilamika SIKU YA KWANZA kuwa uandikishaji ni usumbufu mtupu Mhe. Mnyika akaomba Bunge liache shughuli zake wajadili BVR. Sasa na kuhamia Dodoma imetangazwa juzi jamaa tayari wsnahoji mbona hakuna kitu? By the way, BVR ziluankishwa xote wakavuka malengo by significant margin. Na Dodoma hivyo.
Elewa mantiki. Waziri mkuu alisema anahamia septemba. Kuna wizara ikiwemo ya kilimo na mifugo ilisema inahamia "wiki ijayo". Sasa wiki ijayo ya wiki ile imeshapita, ndio mdau anauliza kama hizo wizara za "wiki ijayo" zimeshahamia...
 
BVR mwchines= BVR machines
Wsnahoji= wanahoji
ziluankishwa =?????
xote= sote
kwa uandishi huu tu, tayari umedhihirisha uki.laza wako hivyo siwezi kujibu pumba zako
 
Elewa mantiki. Waziri mkuu alisema anahamia septemba. Kuna wizara ikiwemo ya kilimo na mifugo ilisema inahamia "wiki ijayo". Sasa wiki ijayo ya wiki ile imeshapita, ndio mdau anauliza kama hizo wizara za "wiki ijayo" zimeshahamia...

Huyo hajui chochote ni mwanachama wa kundi la washangiliaji
 
mtakumbuka kuwa wiki chache zilizopita mawaziri Wa wizara mbalimbali walionekana kuitikia kwa moyo mweupe suala la kuhamia dodoma kama lilivyokuwa limetolewa na mh Raid,
kwa wenye taarifa ya kinachoendelea katika vuguvugu la kuhamia Dodoma (twe zetu Dom) kwa sasa, mtujuze ni wizara ngapi kati ya zile zilizotangaza kuanza kuhamia na kuendesha shughuli zake huko na tayari zimefanya hivyo?

HAPA KASI TU

Ebu tuliaa hukooo... jamaniii...!! Tunapambana na majambazi kwanza.. huoni..? eboo..!!

Wee umelala unakula unajamba unakitambi na afya tele, wenzako siku ya 3 leo hawajalala ni kupambana na majambazi... ebu kelep hukooo... tukimaliza majambazi tutahamia tu Dodoma...

Keleleee...!! tunapambana huku usalama kwanzaa...!! aaarrgghh..!!
 
Mmekosa cha kushambulia humu??
 
Hakuna kitu hapo...sinema at work....au ile familia mlokamata ndo majambawazi yenyewe..Tambo nyiingi hakuna lolote
 
Back
Top Bottom