Ni wapi naweza kupata mkopo usio na RIBA ndani ya Tanzania hii?

Mkopo wa vifaa vya ujenzi nikalipiwa pesa then nikachukua vifaa lkn nilimwambia mteja wangu anipe kiasi baada ya kupunguza vifaa then nikawalipa mafundi na sasa nalala kwangu Nina biashara yangu na mashamba pia
Vp ulichukua mkopp wa aina gani ndugu.
Wakopaji pesa wote kwny mabenki hayo ya Riba huwa hawana cha maana ukibisha fanya uchunguzi...

Hapa job kwangu robo tatu ya watumishi wamekopa kwenye hayo mabenki na wamebakiwa na madeni tu.
 
Hawakopeshi fedha , wanakopesha vitu ambapo ni mfumo ule ule wa riba tu sema umezungushwa.

Mfano unataka milioni 10 ununue gari, wao wanasema tunalinunua hilo gari kwa 10m halafu tunakuuzia wewe kwa milioni 13. Then unalipa kidogo kidogo.

Ila ukiwafata wakupe fedha hawatoi.
Hicho wanachokifanya Islamic bank ni sawa na kukupa soda uinywe kwenye glasi badala ya kunywa kwa chupa kisa wewe uliaminishwa soda ni kimiminika kilichopo kwenye chupa tu.
 
Hyo mikopo isiyo na riba mnakopeshwa kishkaji ila hamlipi kwa kweli sijui kwa nn? Nishakopesha mshakji anadai kasahau miezi mitano sasa hajanilipa sijui kwa mnakuwaje.
 
Hicho wanachokifanya Islamic bank ni sawa na kukupa soda uinywe kwenye glasi badala ya kunywa kwa chupa kisa wewe uliaminishwa soda ni kimiminika kilichopo kwenye chupa tu.
Una maana gani? Una maanisha nn?

Inshort wasiseme kuwa wanatoa mikopo waseme kuwa wanauza bidhaa.
 
Mkopo wa vifaa vya ujenzi nikalipiwa pesa then nikachukua vifaa lkn nilimwambia mteja wangu anipe kiasi baada ya kupunguza vifaa then nikawalipa mafundi na sasa nalala kwangu Nina biashara yangu na mashamba pia

Wakopaji pesa wote kwny mabenki hayo ya Riba huwa hawana cha maana ukibisha fanya uchunguzi...

Hapa job kwangu robo tatu ya watumishi wamekopa kwenye hayo mabenki na wamebakiwa na madeni tu.
Sijakuelewa uliposema kuwa umepunguza vifaa ukapewa fedha!! Hebu nifafanulie hapo
 
Mkopo wa vifaa vya ujenzi nikalipiwa pesa then nikachukua vifaa lkn nilimwambia mteja wangu anipe kiasi baada ya kupunguza vifaa then nikawalipa mafundi na sasa nalala kwangu Nina biashara yangu na mashamba pia

Wakopaji pesa wote kwny mabenki hayo ya Riba huwa hawana cha maana ukibisha fanya uchunguzi...

Hapa job kwangu robo tatu ya watumishi wamekopa kwenye hayo mabenki na wamebakiwa na madeni tu.
Nlichoelewa mimi ni kuwa hawakukopeshi ila wanakuuzia vifaa kwa faida.

Mfano umepiga tathmini ya vifaa vyako vya ujenzi kuwa vinacost 20M...ukiwapelekea wao wanavinunua kwa ile ile 20M halafu wanakuuzia wewe kwa 25M ulipe kwa muda flani
 
PBZ ndio mkombozi pekee haya mabenki mengine pasua kichwa
 
Asante kwa kuchangia ndugu...una lingine la kuongezea?
Tena jamaa ana akili mno Naona ,yaani huyu atakuwa bonge la malezi tokea kwa wazazi wako,Ila wewe nakuona Kama hukifundishwa lugha Kama za kwake alizofundishwa nyumbani kwao ama shuleni kwake utakuwa wewe ulipitia pàbaya kishule ama walezi wako wamekulea vibaya hawajakufundisha lugha chafu Kama ya jamaa ,yaani wazazi wake wanastahili pongezi.ujue kila kitu maishani mwetu Ni matunda ama matokeo ama outcome ya mbegu fulani iliyopandwa huko nyuma tukiwa wadogo mno
 
Mkuu usiendekeze Sana dini!
Au muombe Mungu huo mkpo wa bila riba.

Mambo mengine ni outdated! Kwaiyo wanafunzi wasipokee pesa(helbs) kwa Sababu ya riba??!

Fanya Kama dharula.
#nakopesha laki Moja kwa laki na nusu
10m kwa 15m
Karibu
Naitaji mkopo mimi kama bado unakopesha
 
Amani iwe nanyi.

Moja kwa moja naomba nijitambulishe kwa imani mimi ni muumini wa dini ya Kiislam.Katika maandiko matakatifu ya kitabu cha Quran naona kuwa Suala la RIBA limekemewa sana ,kifupi ni haramu kula au kutumia RIBA!

Principle kuu ni kuwa RIBA ni haramu, yaani ongezeko lolote la pesa juu ya mkopo ni RIBA na haifai kudeal na jambo hilo. Hivyo inaniwia vigumu kukopa katika taasisi za kifedha kama vile benki maana system ya mikopo yao ni RIBA.

Ukikopa mfano shilingi milioni 1 basi utatakiwa kurudisha milioni 1.2 au ukikopa milioni 10 basi utatakiwa kurudisha milioni 12-13. Hilo ongezeko katika pesa ya mkopo ndio RIBA na ni haram.

Naombeni mnijuze ni wapi naweza kupata mkopo usio na riba!!

Asanteni
Wewe Ni ke au Mee?
 
Back
Top Bottom