Amani Tanzania!
Sina mengi ya kuwachosha wana janvi!
Muda wa kubinafisisha Bunge letu umewadia rasimi!
Ninazo sababu kuu mbili tu, mengine mtaongezea
# Ni kwa sababu bunge letu, halina uwezo kabisa wa kushauri serikali na pia halina uchungu na watanzania kwa ujumla, lipo tayari kupitisha miswada na kubinafisisha mashirika ya kiserikali bila kujali hasara nchi itapata na watanzania wangapi wataumia!
#Kama bunge ndiyo dira ya serikali na limeonyesha kufeli kwa kiwango hiki, tujivunie nini sisi kama nchi, kwa nini lisibinafishwe ili tuwape watu wa nchi za kikoloni huko?
#Kwa kuwa nchi yetu huwenda ndio imeanza safari ya haraka sana kuelekea kutawaliwa tena na mkoloni, basi nadhani ni vema bunge letu ndo likawa la kwanza kubinafisishwa ili lisivuruge zaidi kubinafisisha vitu ambapo faida yake ni ndogo ukilinganisha na tutakapopata wabia watakaokuwa na uelewa zaidi ya hapa tulipo!
Tunapoanza kubinafisisha Bandari, kitakachofuata ni viwanja vya ndege, 😂😂😂
Sjui tutakuwa tunavalia wapi sisi baada ya kuoga?