Capsicum
Member
- Jul 20, 2018
- 24
- 30
Huu mziki kiukweli unatakiwa kuangaliwa kwa jicho la pekee kwani unaenda kuharibu maadili/ utamaduni wetu. Hebu cheki haya mashairi ya wimbo wa Snura akimshirikisha MSAGA SUMU .
Msaga sumu: Naomba uniruhusu kupita snura usinibanie mie,
naomba uniruhusu kupita snura usinikazie miee,
niruhusu niingize japo kichwa ndani kwako nichungulie.
Snura : Mimi nina VYUMBA VIWILI unaomba chumba gani (msaga sumu ananyoosha kidole kuashiria anataka CHUMBA NO.1),
Chenye zulia la manyoya au kile cha uwani (msaga sumu anadakia kwa maneno "HUKOHUKO" yaani this time anataka cha UWANI)
Kazi kwenu BASATA.