Ni vema Rais Magufuli akaepuka "Fake News"

Naam, tunaishi zama za fake news. Wengine wanasema ni alternative facts. Kwa Kiswahili ni uzushi, au kimtaani ni "kuwalisha watu matango pori."

Leo Rais amefanya kile Waingereza wanakiita kistaarabu "being economical with the truth." It's a diplomatic way of saying "he lied."

View attachment 763627View attachment 763628View attachment 763630View attachment 763631
Tatizo ni ile mtu kuitwa Professor, wenzetu wanamaanisha mtu anayefundisha sio cheo. Latin America kuna maestro/maestra ikimaanisha mwalimu wa primary au sekondari. Mwalimu wa chuoni anaitwa Profesor ila sio kwa maana ya u professor wa kwetu. U professor wa kwetu ni profesor titular so tusichanganye mambo. Huenda Scandinavian countries wana mfumo huo huo wa Latin America.
 
Literary profesa ni mwalimu wa chuo kikuu. Huwezi kufundisha chekechea ukaitwa prpfesa labda uanze kwanza kufundisha chuo kukuu
 
Mtasugua sana benchi nyie WASALITI wa inchi hii....
FB_IMG_1525105731267.jpg
 
Hivi lini alienda kwenye hizo Scandinavian Countries!? Alitumia lugha ipi kufanya utafiti wake!? Shule ngapi za chekechea zilikuwemo kwenye sample yake? Na huo utafiti aliufanya kwa muda gani!? :eek:

Naam, tunaishi zama za fake news. Wengine wanasema ni alternative facts. Kwa Kiswahili ni uzushi, au kimtaani ni "kuwalisha watu matango pori."

Leo Rais amefanya kile Waingereza wanakiita kistaarabu "being economical with the truth." It's a diplomatic way of saying "he lied."

View attachment 763627View attachment 763628View attachment 763630View attachment 763631
 
Ukweli ni kuwa walimu wa chekechea wanalipwa vizuri ktk nchi hizo ukilinganisha na nchi nyingine....pia wanapewa heshima stahiki kuliko wa kwetu
 
Rais anapaswa kuwa mwangalifu na kauli zake na hasa zile zinazohusisha nchi zingine. Kuwa na hakika unachokisema kinakuongezea credit.

Pengine angesema ufaransa ningemwelewa maana hata wanaofunfisha mipira wanaitwa maprofessor (walimu).
 
Huyu si ndiye yule mropokaji.hahahahaha
Hapana hata kama amewalevya amezidi uongo kana kwamba kila anayeongea naye ni mchunga ng'ombe.Its too much mpaka kichefchefu.Eti walimu wa tanzania wanalipwa kulingana qualifications mwenye master analipwa mshahara mkubwa hata km yupo primary!!!!!!Loh kazidi Slowly.Eti ameishi sana ujerumani na ufaransa lini hyo?????Anajipunguzia credits za kuheshimiwa kama mkuu wa nchi.Hivi kweli hiki ni kipindi cha porojo za .......namna hyo?We due respect him apunguze uongo anabreak trust kwa umma unaojielewa.Porojo awachie akina slowly na rumpen supporters.
 
Naam, tunaishi zama za fake news. Wengine wanasema ni alternative facts. Kwa Kiswahili ni uzushi, au kimtaani ni "kuwalisha watu matango pori."

Leo Rais amefanya kile Waingereza wanakiita kistaarabu "being economical with the truth." It's a diplomatic way of saying "he lied."

View attachment 763627View attachment 763628View attachment 763630View attachment 763631
Sijaona sehemu huyo jamaa yako mmoja wa scandinavia alipobisha kuwa mshahara sio mkubwa na wanaofundisha sio malrofesa
 
Kumbe ile ya kina mama kumlilia huwa inapangwa??
Ready made mkuu lengo ni kufanya spinning ili kubadilsha chukizo la moyo lililotawala kwenye mioyo ya watumishi.Hvyo ilipangwa ili kuendeleza porojo za rais wa wanyonge.
 
Huyo Professor anayefundisha kindergarten aliupataje you Uprofessor au ni Professor wa nini!?

Kama Kindergarten anayefundisha maprofessor he University wamerudishwa na watu gani? Grade A?

Hii haiko hata kwenye category ya fake news ....!! Kama ni fake news basi ni yeye ndiye aliyeitoa hiyo fake news!!

To make it easy, awapeleke maprofessor we Kindergarten na awaongezee mishahara ili watoto wetu waanze kufanya Medicine na engineering wakawa na miaka 3!!
 
Kuna siku rais wetu atakuja kutupigia story za Nyerere na Kawawa kusafiri nje ya nchi halafu Kawawa akawa anakunywa chai akimaliza hafuniki kikombe, wenyeji wakawa wanamuongeza tu hadi Nyerere alipomwambia Kawawa funika kikombe?
 
anaongea kama mtu anayeota hivi . kwenye mtaala wa elimu ya ualimu kuna specialization ya early child hood education watu wanasoma mpaka kuwa maprf. ukiwakuta wanafundisha sio kwamba wanaamua no ndio eneo lao la utaalamu/ ubobevu. ni ajabu mtu mwenye PhD tena mwalimu anatetea mwalimu aliyefundisha secondary for so many years ag akafundishe primary kisa mshahara upo palepale? mshahara jaujawaji kuwa motivational popote pale mnaomshauri na.kumshangilia mwambieni
Ni sawa na kumlazimisha daktari afanye kazi za nurse kwa kigezo cha ukubwa wa mshahara wa nurse. Taaluma zina miiko yake, tukisema aliforge PHD kuna mijitu itakuja kumtetea
 
Back
Top Bottom