Wanasiasa wetu wengi ni wabinafsi na wavivu wa kufikiri. Siamini kama kweli serikali imeshindwa kudhibiti suala la uchakachuaji kiasi cha kukimbilia kupandisha bei ya mafuta ya taa kama suluhisho.
kwanini wachukue complicated solution wakati kuna simple solution? halafu haiwaumizi mifuko yao, kazi kwetu walalahoi.