uHapa kuna mtoto katimiza mwaka mmoja jana.cha ajabu hajaanza kutembea.Anatambaa tu na kujivuta kwa kushikilia vitu na ukuta.Watu wengine wanadai km hadi sasa hajatembea basi hatatembea kamwe.
Kwani umri wa kutembea mtoto ni upi exactly,na nini husababisha wengine kuchelewa? Kwa anayechelewa kuna tiba yoyote?Na je kuna risk ya huyu mtoto kutotembea kabisa ie. Kuwa mlemavu?
Sio tabu, akifikisha miezi kumi na minane hapo ndo unaweza kuona tatizo.
Ninao ushahidi mtoto amekaa mpaka anafikisha mwaka kama leo hv, kesho yake akaanza kutembea baada ya mwezi hv yuko gado sana, wala usipate wasiwasi yuko poa tu ataibuka mpaka wenye naye watasema alikuwa wapi na huwa wanapilika sana.
Usikonde,