Ni ujinga kuumia mpaka kukonda kisa mapenzi

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
726
1,850
Ujumbe wangu kwa wote wanaopitia maumivu ya Mapenzi, usiteseke wala usiumie kwa mtu anayetaka kuondoka kwenye maisha yako haujazaliwa naye huyo usitumie nguvu nyingi kwake.

Akitaka kuondoka mwambie nenda milango iko wazi, kumpata mwingine unaweza ila hauwezi kumpata kama mimi, mimi ni madini adimu kama Tanzanite Duniani kote yanapatikana sehemu moja tu.

Jipe umuhimu kwenye fikra zako alafu tafuta chombo kipya.
 
Ujumbe wangu kwa wote wanaopitia maumivu ya Mapenzi, usiteseke wala usiumie kwa mtu anayetaka kuondoka kwenye maisha yako haujazaliwa naye huyo usitumie nguvu nyingi kwake.

Akitaka kuondoka mwambie nenda milango iko wazi, kumpata mwengine unaweza ila hauwezi kumpata kama mimi, mimi ni madini adimu kama Tanzanite Duniani kote yanapatikana sehemu moja tu.

Jipe umuhimu kwenye fikra zako alafu tafuta chombo kipya.
eti mapenzi yana run dunia, halafu jitu linaamini,
likiambiwa Mungu yupo linakua halina uhakika.
Jitu kama hili lazma litaumia na kukonda na vilevile linaweza hata likajinyonga tu kwaajili ya mapenzi
 
eti mapenzi yana run dunia, halafu jitu linaamini,
likiambiwa Mungu yupo linakua halina uhakika.
Jitu kama hili lazma litaumia na kukonda na vilevile linaweza hata likajinyonga tu kwaajili ya mapenzi
Wanahitaji Ukombozi wa ki fikra , ingekuwa Duniani yupo Asha peke yake Sawa , ila yupo Amina , Joyce , Rose , Anna n.k akizingua mmoja unatafuta mwengine sio unatafuta kitanzi
 
Shida ya mapenzi ni moja tu, ADDICTION, Humans individuals tuko wabinafsi angali mbegu.
Subconsious mind inafanya kazi kwa siri na Moyo kwamba" She is mine" lakin consious mind haijui ila itakuja kujua siku consious mind itakapo jua kwamba nampoteza huyo mamsi subconsious mind na moyo vina kuhoji," inamaana ulikuwa hujui kama huyo ni wako na ndo unampenda kuliko wote!?" na mengine mengi nafsi yako inakukataa moyo unamdai wake,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom