Ni tamu lakini zinachakaza na kuzeesha sana

Hahahahaha lol!!!! Hakuna uchunguzi wa kisayansi kulithibitisha hili lakini nimewahi kulisikia mara nyingi hili, "Mwangalie yule binti alivyokongoroka, hatulii na mwanaume mmoja" leo yuko na huyo na kesho yuko na yule. Pamoja na kuwa hakuna uthibitisho wa kitaalamu kuhusu hili lakini inawezekana likawa na ukweli kiasi fulani.

Mkuu na wewe unakubali kuwa ngono inazeesha?
Sigara ni kweli , kwani hutumika pia kwa watu wanaotaka kupunguza uzito hasa kwa model wa kike. Inahusishwa na kupunguza appetite.
 
Hahahahaha lol!!!! Hakuna uchunguzi wa kisayansi kulithibitisha hili lakini nimewahi kulisikia mara nyingi hili, "Mwangalie yule binti alivyokongoroka, hatulii na mwanaume mmoja" leo yuko na huyo na kesho yuko na yule. Pamoja na kuwa hakuna uthibitisho wa kitaalamu kuhusu hili lakini inawezekana likawa na ukweli kiasi fulani.
Hapana mkuu , hapo factor zinazohusika ni zingine kabisa..... Km vile njaa , ugumu wa maisha, mazingira magumu ya kazi, kutumia cosmetics product dunia, unywaji pombe uliopitiliza, utumiaji wa madawa ya kulevya, magonjwa, utoaji wa mimba , stress za maisha na mahusiano n.k!
 
siyo kuzeeka tu,hata papuchi inakuwa na sura chovu,utaelewa what i mean ukiangalia papuchi za wacheza filamu za ngono
 
Nakubaliana nawe Mkuu nadhani kikubwa ni kukosa muda wa mapumziko pia, ulevi labda na madawa ili waweze kuyafanya wanayoyanya matokeo yake wanakongoroka katika speed kubwa sana ukilinganisha na wengine.

Hapana mkuu , hapo factor zinazohusika ni zingine kabisa..... Km vile njaa , ugumu wa maisha, mazingira magumu ya kazi, kutumia cosmetics product dunia, unywaji pombe uliopitiliza, utumiaji wa madawa ya kulevya, magonjwa, utoaji wa mimba , stress za maisha na mahusiano n.k!
 
Kama ni hivyo siyo kweli!
Mboo haiwezi kumaliza/ kuharibu utamu wa papuchi wala kumzeesha mwanamke.

Wee nani kakuambia kuwa mb..... haizeeshi. Sasa kwa taarifa yako ukiendekeza unazeeka tena unakongoroka unakuwa 26yrs kama 40. Looo. Wewe sio mzoefu inaonyesha mwanafunzi weye.
 
Ngoni inazeeshaje?

Jamani huu ni ukweli kama mtu ataupinga ni yeye tu.

Ila wasichana wasio watulivu kwenye mahusiano yao (wanaogawa uroda non stop) huchakaa na kuzeeka mapema kuliko wale wenye kutulizana ku kujitunza.

Kazi ni kwako amua leo, kusuka ama kunyoa.

TULIZANA
 
Wee nani kakuambia kuwa mb..... haizeeshi. Sasa kwa taarifa yako ukiendekeza unazeeka tena unakongoroka unakuwa 26yrs kama 40. Looo. Wewe sio mzoefu inaonyesha mwanafunzi weye.

Hizo theory hazina ukweli wowote na siyo applicable at all! I have seen very sexy and beautiful sluts ambao hawana hata chembe ya kuzeeka kwa umalaya wao.
Nakuhakikishia mtu anayetombwa sana akawa hana stress , mazingira ya kazi yake ni mazuri, hatumii vipodozi hatarishi, hanywi pombe kupita kiasi , hatumii madawa ya kulevya n.k huwa wananawiri na kuwa wateke sana.
Mwanafunzi wa nini bibie?
 
siyo kuzeeka tu,hata papuchi inakuwa na sura chovu,utaelewa what i mean ukiangalia papuchi za wacheza filamu za ngono
Mkuu ukizungumzia industry ya porno hiyo ni kitu tofauti kabisa na kusema mtu anafanya ngono sana.
Ile ni industry iliyogubikwa na mambo mengi sana yanayohusisha uharibifu wa miili ya wacheza filamu hizo, ndiyo maana asilimia kubwa ya wacheza filamu hizo huwa hawadumu muda mrefu ( wengi wanaishiaga miaka 2).
Hiyo industry achana nayo kabisa.
 
kweli wengi wanapoteza maisha,kuna porn star moja anaitwa jada fire ana mkwanja balaa ye kadumu si chini ya miaka 7 sasa filam alizocheza ni nyingiiii mno
 
Ha ha haaa 'Haloo beibi'
Malizia 'nauwezaa'
Back to topic:
Kuna ukweli wa kisayansi kuwa, sperms za mwanaume zinapoingia mwilini mwa mwanamke huleta mabadiliko fulani, hivyo basi mwanamke anapopokea sperms za kila aina, kila uzito matokeo yake ni uliyotaja hapo juu.
^^

Ahaa inamaana mtu akitumia dume au rough rider hatakongoroka?
 
punda pelekea wanyiramba huku usukumani ni mang'ombe tu...
10845897_881998018477712_6792786305385970804_n.jpg
 
Back
Top Bottom