Ni tamu lakini zinachakaza na kuzeesha sana

kujikunja uso ni maumivu au utamu?

kuna kujikunja kwa utamu na maumivu.....za shepu tofautitofauti zinasababisha maumivu na utamu tofautitofauti...sasa ile uso kujikunja kwa style tofautitofauti ndio kunakozeesha uso wa mdada anayetoa sana kwa watu tofautitofauti....dushe ni dhana ya maangamizi ujue
 
Jamani ukiendekeza kwa watu tofautitofauti inachakaa. Kuna mkaka hapa ofisini alimpata mwanamke alipoenda naye kudu, acha aje aniambie yaani dada nimekutana na full mbumbwi, yaan unaweza kuweka mikono miwili na ukawa unapiga makofi yaan akalalamika haja enjoy kitu, akiaapia kuwa hatarudia tenayule mdada. Na hii nikajua kuwa ndiyo sababu ya hawa wakaka kumpata mwanamke kwenda naye siku moja alafu ndio harudi tena anatoka mazima kama ameachiwa gerezani vile . Jamani papuchi yatunzwa watoto. haya bisheni lakini ukweli unabakia pale pale. Jitunze mwanamke. Hata kama imeumbwa kama plastic jitunze.
 
VP kwa mwanaume au ndo effect zipo kwa wanawake tu
 
Kutunza papuchi unamaanisha nn?
Kuihudumia au kujipa service?
 
Jamani ukiendekeza kwa watu tofautitofauti inachakaa. Kuna mkaka hapa ofisini alimpata mwanamke alipoenda naye kudu, acha aje aniambie yaani dada nimekutana na full mbumbwi, yaan unaweza kuweka mikono miwili na ukawa unapiga makofi yaan akalalamika haja enjoy kitu, akiaapia kuwa hatarudia tenayule mdada. Na hii nikajua kuwa ndiyo sababu ya hawa wakaka kumpata mwanamke kwenda naye siku moja alafu ndio harudi tena anatoka mazima kama ameachiwa gerezani vile . Jamani papuchi yatunzwa watoto. haya bisheni lakini ukweli unabakia pale pale. Jitunze mwanamke. Hata kama imeumbwa kama plastic jitunze.

Size ya jamaa unaijua isije kuwa tuthpik inalalamika kuwa kinu kikubwa wakati kinu wake mchi!!!
 
Usisahau na sigara pia, hizi nazo ni mbaya sana wavutaji waliokubuhu huonekana wazee sana kuliko umri wao halisi.
Na mkorogo pia huzeesha na kukuondolea mivuto
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Usisahau na sigara pia, hizi nazo ni mbaya sana wavutaji waliokubuhu huonekana wazee sana kuliko umri wao halisi.
Mkuu na wewe unakubali kuwa ngono inazeesha?
Sigara ni kweli , kwani hutumika pia kwa watu wanaotaka kupunguza uzito hasa kwa model wa kike. Inahusishwa na kupunguza appetite.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom