Ni tafadhali nipigie au Tafadhali nichunie...?

Atubela

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
749
851
Unatumiwa "Tafadhali nipigie" ndio unakauka na cm unazima kabisa......! au nilikutumia "tafahali nichunie"?
 
mm ukinitumia tafadhali nipigie...nakujibu kwa "tafadhali niongezee salio"..mwisho!
 
Mi sipendi hiyo tabia ya kutumiana "tafadhali nipigie" mtu unapiga anakwambia nilitaka kukusalim tu!
I thought that service was meant for emergency incase mtu hana salio.
 
Nadhani kama mtu anashida ya lazima sana ni bora akaandika ujumbe ukieleza unyeti wa jambo husika ili kumfanya unaemtumia ujumbe akujibu ama kwa kukupigia ama kwa kuku-text. Ni mtazamo tu.
 
Mi sipendi hiyo tabia ya kutumiana "tafadhali nipigie" mtu unapiga anakwambia nilitaka kukusalim tu!
I thought that service was meant for emergency incase mtu hana salio.
Hata nyie mnatumiwa hiyo kitu...? bora tigo yenyewe inaenda direct...!

hili swala la vocha jamani!
Mie mwanamke haniambii nimpigie au mwongezee salio wala mambo ya aina hiyo.

At this era? Bado tunaongelea masalio ya simu? Kwanza simu ni anasa, bora aniandikie 'tafadhali niongezee fungu la mchicha'
 
Hahahah fungu la mchicha?! Kongosho wewee...
 
hili swala la vocha jamani!
Mie mwanamke haniambii nimpigie au mwongezee salio wala mambo ya aina hiyo.

At this era? Bado tunaongelea masalio ya simu? Kwanza simu ni anasa, bora aniandikie 'tafadhali niongezee fungu la mchicha'

mh..we sio vampire kweli? Kila siku wabadilisha jinsia- funguka tafadhali what kind of creature r u?
 
tafadhali niongezee fungu la mchicha,nyanya na vitunguu swaumu

hili swala la vocha jamani!
Mie mwanamke haniambii nimpigie au mwongezee salio wala mambo ya aina hiyo.

At this era? Bado tunaongelea masalio ya simu? Kwanza simu ni anasa, bora aniandikie 'tafadhali niongezee fungu la mchicha'
 
Tafadhali nipgie halafu ukipigiwa ooh, nilikuwa nakusalimia! Uza simu ununue vocha.
 
Back
Top Bottom