Ni swali gani uliwahi kuulizwa kwenye interview likakuacha hoi?

Mkuu pagumu hapo, maana ukitaja mke wa bosi basi bosi atahisi utaanza kumgongea mkewe, afadhali hata kutaja mtoto, na hata hivyo ukitaja mtoto bosi atakuona hufai maana una nia ya kumgongea mwanawe.
ᴳᵒᵈ ᵇˡᵉˢˢ ᵀᵃⁿᶻᵃⁿⁱᵃ ⁿᵒᵗʰⁱⁿᵍ ᵉˡˢᵉ
That's your problem, fuata ITIFAKI nani Superior kati ya mke na mtoto?
 
What is ur weaknesses? Niliwambia hadi walipiga makofi, napenda sana kufanya kazi, napenda sana kutoa na kupokea ushauri na pia napenda sana kujifunza, mwisho napenda kulipwa kulingana na uwajibikaji wangu. Niliambiwa subiria barua au simu ya kuitwa kazini
Sent using Jamii Forums mobile app
in weakness is simple, say one of your problem and explain how you handle it postively at the end. Example I get frustration when I finish assignment out of time though I never give up on doing that until I come out with good result.
 
Hapa inabidi useme udhaifu wako ulionao ila uoneshe namna ambavyo unakabiliana nao kiasi kwamba hauathiri utendaji kazi wako

Mfano kwenye kazi unayomba labda kuna siku unaweza takiwa uongee na hadhira kubwa, unaweza sema weakness yako kama hivi
"I think I am a bit shy/ ( get nervous) especially when talking to a large audience. However, I have learnt that if I prepare my presentation well, I normally make the best presentation, and as such I spend a big chunk of time preparing for public speaking than I do for other activities".

Mfano 2: badala ya kukimbilia kusema "I am perfectionist" tafuta namna bora ya kuiweka kama weakness ambayo unaweza igeuza kuwa strength
"I would consider myself as a bit slow not because I dont deliver but because I pay much attention to details in everything that I do, and for that case to ensure that I meet the deadline and stakeholders' expectations, I usually dedicate a lot of my time to every assignment that I work on"

Mfano 3:
" I can't say it exactly as my weakness in such, but my colleagues have always been saying that I am too serious and hard to approach person. But to me this happens only when we are supposed to be working/serving our clients. Maybe that is the moment where some people think I am too serious not remembering the fact that we are supposed to deliver, for we have plenty of times to make jokes and the rest"

Huo ni mtazamo wangu, mimi sio hr, sijawahi kuwa panelist wala sijawahi kuulizwa hayo maswali ila ni miongoni mwa namna ninavyoweza kujibu swali kama hilo. Tuwe huru kukosoa, kurekebisha nk
Hapo para ya mwisho mkuu sijaafiki bosi.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Nimemaliza tu chuo nikaitwa kwenye interview ramada hotel mbezi beach

Kwanza nilichelewa kufika Pili interview ilikuwa written na oral kwa siku iyo iyo

Mhundi alichofanya ndo kiliniacha hoi

Interview ilikuwa ya round table alafu tuko kama 11 ivi

Anachukua cv yako anasoma kisha anakuuliza swali ole wako ushindwe au uwanze kujiuma uma utatukanwa mpaka basi

Muhindi alikuwa anatukana matusi yote tena kwa sauti daaah sitakaa nisahau ile interview

Nilishindwa nikaamuwa kusepa nikawaacha wana wanaendelea

Tulikuwa 11 baada ya kuondoka mimi wakabaki 10 na alikuwa anataka watu wa 5 the good news alichukua wote 10
Mlikuwa mnapimwa ustahimilivu wenu hasa mkikutana na wateja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku jamaa aliulizwa alipwe sh ngapi akasema million, interviewer akasema tutakupa milioni 2. Jamaa akasema acheni masihara. Interviewers wakamwambia wewe ndo umeanza masihara...( ilikuwa pale kiwanda cha vioo chang'ombe)

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Kuna siku jamaa aliulizwa alipwe sh ngapi akasema million, interviewer akasema tutakupa milioni 2. Jamaa akasema acheni masihara. Interviewers wakamwambia wewe ndo umeanza masihara...( ilikuwa pale kiwanda cha vioo chang'ombe)

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Aiseeeee

CC Zero IQ
 
Back
Top Bottom