themanhimself176
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,800
- 2,817
Unaona matatizo ya kuto kujiamini?
Ni kweli sikujiamini
Mwingine aliniambia alitaka kupima how can you handle pressure
Unaona matatizo ya kuto kujiamini?
Unawasiliana na boss kumueleza situation then from there lazima boss atatoa maamuzi ya mwisho na ama sure atasema uanze kumchukua mtotoMimi ni dereva nakumbuka nilikwenda kwenye masahiliano ya kampuni moja ndipo niliulizwa swali hili "Je ikitokea mke wa bosi ametoka kazini na mtoto wa bosi ametoka chuo na kila mmoja anataka ukamchukue kwa wakati huo, je utaanza kwenda kumchukua nani?" hili swali nilishindwa kujibu na kubaki nimeng'aa sharubu tu na hapo hapo kazi yenyewe nikaikosa
ᴳᵒᵈ ᵇˡᵉˢˢ ᵀᵃⁿᶻᵃⁿⁱᵃ ⁿᵒᵗʰⁱⁿᵍ ᵉˡˢᵉ
inatakiwa uwe mvumilivu kwenye interview, mimi nakumbuka tuliitwa interview ya kwanza walikuwa wanahitaji watu 10 tukachujwa hadi 30, interview ya pili tuliitwa eneo kwa nje kuna uwanja una ukoka/nyasi zimeota afu pembeni kuna slashers. Wakatuambia shikeni slashers mfyeke nyasi. Walisepa watu karibu wote tukabaki watano hivi, sisi tukaona sio ishu ngoja tushike slashers tu, tukasikia. Hebu acheni slashers mnifuate huku. Tulikabidhiwa barua ya kazi siku ile ile
thanks to god the almighty
Yani niwaambie nilisema makosa gani niliyowajibu na kila kitu mpaka makofi yakapatikana?Mkuu hebu tugawie na sisi tuone ni nini kilipigiwa makofi
Hapa inabidi useme udhaifu wako ulionao ila uoneshe namna ambavyo unakabiliana nao kiasi kwamba hauathiri utendaji kazi wako
Naomba nikusaidie maana na mimi ni HR,Mkuu it's good kukutana na HR,samahani naomba kuuliza kwa HR wa kibongo Bongo hapa huwa mnatumia kihezo gani ili kumpata best candidate kutoka kwenye application lets say 200 au zaidi na nyie mnataka watu wa 3,uchambuzi wa maombi 200 au zaidi mnafanyaje,au ndio ana ana do....swali la pili,mnaweza kumwita mtu alie na gap kwenye work history,lets say previous job yake aliacha 2 years ago means mtu mwenye 2 yrs employment gap,na mkamwacha yule ambae currently he/she has job...
Sent using Jamii Forums mobile app
NdioYani niwaambie nilisema makosa gani niliyowajibu na kila kitu mpaka makofi yakapatikana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kinyume na ethics za HR, ni aina ya unyanyapaa au kumdhalilisha mtu, its too personal and not proffesional
Mara nyingi tunahitaji proffesional referees, weka atlist wawili halafu ndugu awe mmoja ila tunataka watu ambao wanakujua katika mazinhora ya kazi na sio nduguMr Hr, kuna tatizo lolote kuweka ndugu zako kama referees wako?
You are welcome.Siku nikiitwa interview kabla sijaenda ntakutafuta mkuu unisaidie mambo muhimu muhimu ..it seems uko vzr
Sent using Jamii Forums mobile app
Idea yako ni nzuri. Na ndicho tunachokifanya huku masiteMimi ni HR, jibu jepesi hapo ni kwamba as a cotractor unatakiwa utoe ushauri kwa both consultant and client kwamba what is the best option between the two kulingana na taaluma yako tena utoe reasonable advice ila end of the day kazi ianze pasipo kuathiri either of the side
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kusoma comments za watu humu na kuunganisha na experience yangu ndogo kama pannelist nimetambua kuwa wengi wanafeli interview sio sababu ya panic bali huwa hawajui maswali yanapima nini hivyo wanapaswa kujibu nini. Wengi naona mnatoa majibu google as if interviewers hawapiti humo halafu mna expect kutoboa, guys things change.
Nashauri wale ambao mna experience ndogo jaribuni kujifunza toka kwa HR mbalimbali mtatoboa ila muwe watulivu na sio much knows. Kwa kuanzia hata huyo "prisoner of hope" anaonesha ana mwanga sana kwa kuongea madini.
Yaani uitwe kwa interview halafu mshahara useme as per scale serious? Jaribu hivyo halafu iwe kwa mhindi ndo utaona kuwa sio sawa.
Sorry for being a bit harsh, kuna wengine ukiwa mkali ndo wanaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu
Bado sijalipata..
Kwa hyo na kazi ukakosa?Niliogopa kujipunja (nikafanya kazi kubwa maslahi kidogo) au ningeweza kuongeza zaidi kima cha malipo tofauti na majukumu ya kikazi,hili lingenifanya nionekane nipo kimaslahi zaidi kuliko kikazi.