Ni swali gani uliwahi kuulizwa kwenye interview likakuacha hoi?

Ili kuonyesha your value it's important kusema if selected for the post I would like to be paid this much.... Kuna makampuni ni wanyonyaji sana ukiwapa loop hole
Menikiulizwa ilo hujibu hivi
Kila kampuni ina scale zake za salary ambazo inawalipa waajiriwa wake kulingana na elimu zao. Nami niko tayari kulipwa kutokana na scale yangu iliyopangwa ndani ya hii kampuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza tuanze mimi ni civil engineer. Nilifanya intervew kwa wahindi nikaulizwe ikiwa client anataka ujenge hivi, na consultant anataka ujenge vile. Kama wewe ni contractor utafanyaje? Nilijibu nisinyamaze tu lakini kwa ukweli ilo suali lilikua sio la kawaida kwangu
Acha na mie nipatie msaada hapa hapa tutani...
Kwani consultant na client wanakuwa na mawazo tofauti? Maana nijuavyo cosultant anasimamia kazi kama client anavyotaka.
 
Acha na mie nipatie msaada hapa hapa tutani...
Kwani consultant na client wanakuwa na mawazo tofauti? Maana nijuavyo cosultant anasimamia kazi kama client anavyotaka.

Consultant ndiyo anasimamia kazi lakini pia anasimamia quality ya kitu kitaalam. Kwa mfano client anaweza kusema tutumie nondo za mm 16 lakini consultant akiangalia amefanya design kwa nondo za mm 32. Sasa unafikiri nini kitatokea apo?
 
Kuna jamaa wangu aliwahi kunisimulia alienda kwenye oral interview moja anakwambia aliulizwa maswali conc kinoma, katika maswali yote aliyoulizwa akasema alifanikiwa kujibu swali moja tu ambalo lilikuwa ndo swali la mwisho ni swali lenyewe lilikuwa ni "je unaswali lolote la kutuuliza? Jamaa akajibu " hapana" ndo swali pekee alifanikiwa kujibu hilo

Sent using My phone
 
Nilitwa interview moja Kama "operation engineer" kuingia kwenye chumba Cha usaili, swali la kwanza nililoanza kuulizwa.. " Bendera ya taifa ina rangi ngapi?, Na kwa nini zinapeperushwa katika taasisi za umma pekee?

Sikutegemea hili swali Kama nitakutana nalo nililishindwa na kazi sikupata maana sikutegemea swali la namna hii kabisa
Ulizingua sanaa... Hili swali haliitaji kujiandaaa!! Hata me nisingekupa kazi aisee.... Ukilaza wa hali ya juuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliisha wahi kufanya makosa? Nikasema ndio
Kosa gani? Desh desh deshhh
Kosa hilo lilikugharimu kitu gani? Desh desh deshhh
Ulijifunza nini kutokana na hilo kosa? Bla blah blah
Sijawahi kupigiwa makofi mimi tangu elementary mpk chuo lakini kwenye interview nikapigiwa makofi,
Naulizwa lini uko tayari kuanza kazii


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hebu tugawie na sisi tuone ni nini kilipigiwa makofi
 
sio kweli mzee,ukikutana na recruiter mzoefu,..hilo sio jibu sahii,atajua tu unajaribu kufanya Strength in disguise....unakuta kabisa mtu unafanyiwa interview ya experienced level,unaulizwa what's your weakness eti nawe unajibu like "am perfectionist,au hard worker"n.k sio majibu ya mtu alie na experience,....unatakiwa utaje weakness ambazo upo tayari au umeashazifanyia kazi ili kujirekebisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi, ndivyo inavyopaswa kuwa
 
kuna interview moja niliwahi kuulizwa na
"swali la kizushiii"" una mke,girfriend au mchumba "nikajibu sina "

yule interviewer akaniambia basi chagua kati yetu sisi madada ni nani aliyekuvutia nikabaki napigwa na butaa wakati nikiwa natafakari nikaambiwa haya nenda tutakujulishaaa

dah hiii dunia kuna watu wangesee kweli na wazinguaji
Ulicheza chini ya kiwango

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yah ipo hivo. Cha msingi tu unatakiwa ufahamu kwamba, minimum and maximum package yako ni ipi?? Kulingana na professional, level ya elimu na experience yako. Then unapoulizwa swali hilo, we simama hapo kwenye maximum tena kwa kujiamini kabisa. ITAKUSAIDIA MKUU IWAMBI
Siku nikiitwa interview kabla sijaenda ntakutafuta mkuu unisaidie mambo muhimu muhimu ..it seems uko vzr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza tuanze mimi ni civil engineer. Nilifanya intervew kwa wahindi nikaulizwe ikiwa client anataka ujenge hivi, na consultant anataka ujenge vile. Kama wewe ni contractor utafanyaje? Nilijibu nisinyamaze tu lakini kwa ukweli ilo suali lilikua sio la kawaida kwangu
Mimi ni HR, jibu jepesi hapo ni kwamba as a cotractor unatakiwa utoe ushauri kwa both consultant and client kwamba what is the best option between the two kulingana na taaluma yako tena utoe reasonable advice ila end of the day kazi ianze pasipo kuathiri either of the side

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom