Juventus 0 - 1 Empoli.

Nilikosa usingizi mwezi mzima na bodaboda yangu niliiona chungu mwezi mzima nilikuwa natoa deiwaka tu!.

Niliweka mkeka sportpesa wenye mechi 38(behewa)ambao endapo ningeshinda nilikuwa najikamatia 22 Milioni point something na niliweka buku 2 tu.Sitakaa nisahau aisee!.

Mechi zote nikafanikiwa kushinda na ikawa Imebaki mechi ya Juventus vs Empoli,ilikuwa mwanzo kabisa wa ligi na nakumbuka ndiyo Ronaldo amemaliza kuhama Juventus!,hakuna siku niliomba,kufunga na kusali kama wakati naisubiri hiyo mechi!.Kibaya zaidi nilimpa Juventus direct win na kibaya zaidi saaaaaana hiyo hela nishaanza kuipangia bajeti!.

Aisee baada ya ile mechi nilizima simu wiki nzima na sikupata usingizi takribani mwezi kila nikikumbuka!.

Omba yasikukute mkuu!.
Mkuu endeleza stori
 
Kuna jamaa mechi ilikuwa imebakiza dakika 20 ilikuwa 3-0 akaagiza bia round kwa wote pamoja na meza yetu mimi bila huruma nikachukua safari 5.

Dakika ya 80 akarudisha 3-1 jamaa akajua uhakika aka agiza nyama kilo 7 mi nikaa agiza na ugali kabisa. Nyama inafika mezani mpira unaisha 3-3 na ugali ndo una timba bila hiyana mi nika finya kiroho safi, jamaa hata finyango 6 hakumaliza. Maana ule mkeka alikuwa ana kulaa M16 na ilikuwa mechi moja tu.
Huu utakuwa uchawi sio bure
 
Juventus 0 - 1 Empoli.

Nilikosa usingizi mwezi mzima na bodaboda yangu niliiona chungu mwezi mzima nilikuwa natoa deiwaka tu!.

Niliweka mkeka sportpesa wenye mechi 38(behewa)ambao endapo ningeshinda nilikuwa najikamatia 22 Milioni point something na niliweka buku 2 tu.Sitakaa nisahau aisee!.

Mechi zote nikafanikiwa kushinda na ikawa Imebaki mechi ya Juventus vs Empoli,ilikuwa mwanzo kabisa wa ligi na nakumbuka ndiyo Ronaldo amemaliza kuhama Juventus!,hakuna siku niliomba,kufunga na kusali kama wakati naisubiri hiyo mechi!.Kibaya zaidi nilimpa Juventus direct win na kibaya zaidi saaaaaana hiyo hela nishaanza kuipangia bajeti!.

Aisee baada ya ile mechi nilizima simu wiki nzima na sikupata usingizi takribani mwezi kila nikikumbuka!.

Omba yasikukute mkuu!.
Yan inauma ni bora zichane mechi 3 4 5 ina mechi 1 au 2 kwenye mechi kuanzia 9 inauma sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom