Ni sehemu gani ndani ya Dar es Salaam panafaa kwa biashara ya vifaa vya simu?

Aziwero

Member
Jan 16, 2017
12
12
Habarini ndugu,

Hivi karibuni nimekua na uhitaji wa kufungua duka la simu na vifaa vyake ndani ya jiji la Dar lakini imekua changamoto kwangu kujua sehemu sahihi kwa ajili ya hiyo target market yangu ni watu wa kipato cha chini na cha kati.

Naomba msaada wenu
 
Naomba msaada UBUNGO riverside,mbagala rangi 3, kijicho, kariakoo, gongo la mboto asante
 
Back
Top Bottom