Ni sawa utafute mpenzi mjenge maisha wote au utafute maisha ndipo utafute mpenzi ?

Erick MR

Member
Nov 11, 2022
77
152
Habari Wana JF ningependa mtazamo wenu katika hili mara nyingi sisi wanaume tunakutana na mikanganyiko katika maisha ya mahusiano hasa suala la kutafuta wa mtu sahihi wa kua naye kwenye maisha (ndoa) ,Je ni Sahihi kumtafuta mtu mjenge maisha wote au utengeneze maisha kwanza ndipo utafute mwenza?
 
Hiyo ya kutafuta mpenzi kwanza alafu haujajenga maisha, utaishia kuishi kama digidigi mkuu , siku hiz hakuna mdada mzuri anavumilia matatizo , labda upate wale wa kutoka kwa mwamposa km zimeshasoma .
 
Habari Wana JF ningependa mtazamo wenu katika hili mara nyingi sisi wanaume tunakutana na mikanganyiko katika maisha ya mahusiano hasa suala la kutafuta wa mtu sahihi wa kua naye kwenye maisha (ndoa) ,Je ni Sahihi kumtafuta mtu mjenge maisha wote au utengeneze maisha kwanza ndipo utafute mwenza?
Kuwa mdogo wangu uje uone mambo? Maisha hayana formular maalumu.
 
Fanya utafiti kidogo mahali ulikokulia wale wanandoa majilani zako.
utagundua kuwa walianza kuwa pamoja tangu wadogo sana may be at 17 na umaskini wao na ndoa zao bado zipo imara na ndoa imejengwa katika msingi wa baba mtafutaji, mama mlezi(au ana role ndogo sana katika kutafuta pesa).

lakini zama zinabadilika. Siku hizi mtoto wa kike at 24 bado yupo shule(chuo). Na mpaka kufikia hapo hawezi kuwa salama katika suala la mapenzi kusema anakutunzia wewe.

for me,
kuanza pamoja ni best option lakini zama zimebadilika. lazima ujijenge kwanza.
 
Atakuta kila kitu... Siku akizingua ataondoka yeye ataacha kila Kitu isipokua nguo zake tu.
 
Tafuta mdada anayejiapisha mjenge maisha pamoja hasa wale wadada wanaosema ukinunua kiwanja yeye ataleta tofali,ukinunua nondo yeye analeta bati ,ukiweka umeme yeye anawaleta dawasco wanawake hao wapo ila wako wachache sana ukibahatika utajikuta una pata kitambi Cha moyo .

Hao wa tafuta pesa Kwanza waepuke kama ukoma.Dunia imeshatufundisha pesa haijengi ndoa bora bali pesa inagharamia mahitaji ya kawaida tu .Matajiri wa Dunia akina B Gates , Amazon ,Dangote ni mifano hai. Hao wanaosema tafuta pesa Kwanza utakuta kajenga nyumba 3 ana magari ya kutosha na vitega uchumi anaona ameyaweza maisha ya ndoa kumbe my wife wake anamtafutia timing ampeleke kibra .shina baya kuliko yote ni kuzitemea pesa kuendesha ndoa ,pesa zinazoeleka hata kama ulioa darasa la saba na maskini ukishamuingiza kwenye maksri yako baada ya muda atazoe maisha ya mpunga mnene ataanza kukuona huna jipya ,Mimi naishi Dar asilimia kubwa ya matajiri wa Tz wapo Dar ndoa zao nyingi zinashubiri za kutosha katafute takwimu za talaka nyingi ni za wanaume matajiri au wenye vipato vya uhakika.
Umoja ni nguvu utengano Ni udhaifu
 
Mwanamke ni chombo cha starehe kisicho hitaji tabu ,tena chombo dhaifu kisicho na nguvu .

mwanamke ni kama toyota alphad haitaki tabu.

Raha ya toyota alphad ni uwe na hela na matunzo tuu na usafi wa kutosha utaona uzuri wake

Sasa shauri yako.

Chagua kuanza kutafuta mpenzi uwe unapigwa chaga kila siku au uanze kutafuta hela na kujenga mazingira waje wenyewe
 
Back
Top Bottom