Ni sahihi Rais kutajwa kwenye kila kitu?

Habari wanajukwaa.

Kumeibuka mtindo kila mtu anapopata nafasi ya kuongea kumsifia Rais hata kwa yale ambayo Rais hausiki wala hayajui.

Mfano Mrisho Ngasa alipoalikwa Kwenda Ivory Coast kama Legendary kipindi cha AFCON alipohojiwa alianza kumshukuru Rais Samia.

Binafsi yangu naona hii ni aina mpya ya Uchawa kwa Rais.

Mtoto wa Lowasa alifikia kusema bila ya Samia yawezekana Lowasa angekufa mapema, hii ni kama kumpa Samia mamlaka ya kimungu ilihali ni binadamu.

Swali langu kwenye wana Jamii Forum ni sawa kwa Rais kushukuriwa, kutajwa na kutukuzwa kwenye kila jambo?
Ujinga huo aliuanzisha magufuli na machawa wake sasa yeye kaenda machawa wake wanaendeleza ujinga ule
 
Ni utamaduni wa hovyo sana ulioibuka kuanzia awamu ya 5
 
Rais hata kwa yale ambayo Rais hausiki wala hayajui

Rais sultani mfalme nusu Mungu aliye na uwepo popote zaidi ya zile picha za rais aliyepo madarakani kutundikwa kila ofisi ya umma na serikali, sasa wamekwenda mbali kuwa yupo kila sehemu na mahala pote mithili ya Mungu ... kama katiba ya nchi ya sasa ilivyompa mamlaka makubwa ya kuwa dikteta ikiwa ana utashi au machawa wakilazimisha unusu Mungu ambao pengine rais mwenyewe haafiki.
 
Kwanza kabisa napenda kutoa shukurani zangu za dhati kabisa kwa muheshimiwa Rais kwa kutoa fedha nyingi katika sekta ya afya hususani mochwari, hii inaniwezesha kucomment hapa bila wasi wasi kwani najua tukifa tutahifadhiwa pazuri

Baada ya kusema hayo nitoe pia shukurani kwa serikali ya awamu ya sita kwa kuruhusu mleta mada kutoa maoni yako kwani huko nyuma hatukua hivo
 
Kuitwa Cote de vore alimshukuru kwanza mama
Huyo alikwenda na mkumbo tu !!
Lakini mbona huwa nasikia watu wanasema eti Siasa ni uongo uongo unaofanana na ukweli??!
Kama ni hivyo basi ni sawa tu 😅😅🙏🙏
 
Habari wanajukwaa.

Kumeibuka mtindo kila mtu anapopata nafasi ya kuongea kumsifia Rais hata kwa yale ambayo Rais hausiki wala hayajui.

Mfano Mrisho Ngasa alipoalikwa Kwenda Ivory Coast kama Legendary kipindi cha AFCON alipohojiwa alianza kumshukuru Rais Samia.

Binafsi yangu naona hii ni aina mpya ya Uchawa kwa Rais.

Mtoto wa Lowasa alifikia kusema bila ya Samia yawezekana Lowasa angekufa mapema, hii ni kama kumpa Samia mamlaka ya kimungu ilihali ni binadamu.

Swali langu kwenye wana Jamii Forum ni sawa kwa Rais kushukuriwa, kutajwa na kutukuzwa kwenye kila jambo?
NCHI HII WAJINGA WAMEONGEZEKA SANA
 
Kwanza kabisa ningependa kumshukuru mweshimiwa, mAma anaupiga mwingi,

Baadhi yetu wa Bongo ni vilaza yaani vilazaa na vilaza tena yaani atujielewi yaani tutamshukulu mpaka 2035.
Loading..........
 
Habari wanajukwaa.

Kumeibuka mtindo kila mtu anapopata nafasi ya kuongea kumsifia Rais hata kwa yale ambayo Rais hausiki wala hayajui.

Mfano Mrisho Ngasa alipoalikwa Kwenda Ivory Coast kama Legendary kipindi cha AFCON alipohojiwa alianza kumshukuru Rais Samia.

Binafsi yangu naona hii ni aina mpya ya Uchawa kwa Rais.

Mtoto wa Lowasa alifikia kusema bila ya Samia yawezekana Lowasa angekufa mapema, hii ni kama kumpa Samia mamlaka ya kimungu ilihali ni binadamu.

Swali langu kwenye wana Jamii Forum ni sawa kwa Rais kushukuriwa, kutajwa na kutukuzwa kwenye kila jambo?
Hata mimi namsifu nimepata watoto mapacha.
 
Back
Top Bottom