makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 28,129
- 81,003
Yupo sahihi, huo muda ni wa kukaa na mkeo ndani, we upo bar unapiga vyombo, kisha mwenzio akiwa kapumzika ndio uanze kumsumbua akufungulie mlango
WE KUWEZA?
WE KUWEZA?
Wewe umemjulisha uko wapi na unafanya nini?Hajui hata niko wapi nafanya nini?
ye kuweza... ukute wife genye zilimbanaa alafu jamaa hawahi kurudiYupo sahihi, huo muda ni wa kukaa na mkeo ndani, we upo bar unapiga vyombo, kisha mwenzio akiwa kapumzika ndio uanze kumsumbua akufungulie mlango
WE KUWEZA?
Mwanamke sio lazima aambiwe moja ya jukumu ni kufungua mlango hapana hilo ni jukumu lake automaticallyNadhani hili ndio lilikuwa jibu murua kwake kabla ya kuleta bandiko huku, kama ulimuoa na ukamwambia Moja ya majukumu yake ni kukufungilia geti na anadai amechoka basi kibarua kimemshinda yakheee mrudishee akaoshe vyombo kwao
Kwa mujibu wa hoja, Sio kwamba amekataa kufungua mlango, ila amechoka, kuchoka kunamaanisha Hilo suala la kufungua ni Kila siku ndilo limemchosha na ni uzuri ametoa ushauri Ili kuondoa kero pande zote mbili ushauri wake ni kuondoka na ufunguo wako Ili usije kulala nje Kwa sababu mlango haujafunguliwa, au asikereke Kwa sababu ya kukatisha usingizi wake kuja kukufungulia kitu ambacho amechoka. Hapo ni suala la kuelewa sio kuanza debate tena.mwanamke sio lazima aambiwe moja ya jukumu ni kufungua mlango hapana hilo ni jukumu lake automatically
Kwahiyo ni ww sio rafiki yako
Mkuu si useme tu kuwe ni wewe uliyetumiwa details za ndani hizi unazijuaje?
Kuna kitu unakimiss mkuu katika suala zima la utaalamu wa kimawasiliano. Umesema ni ishu inayomhusu mshkaji wako but on between of your story and your comments unarespond as you're the one who is concerned with the story, yaani mhusika wa swahibu hili.
A lot of confussion and unprofessional!
kumbe ni wewe, umejisema bila kujua
Anajifanya kiziwi haelewiHiyo meseji ina ujumbe muhimu sana hapo, tumia akili mtu wangu, inaonekana wewe ukiingia nyumbani humuamsha mkeo ila humfanyi chochote na kutimiza majukumu yako ya ndoa, hivyo chukua ufunguo uwe unaingia kimya kimya na kukoroma tu maana haina haja umuamshe ilhali humpi haki yake.
Wakulungwa tushamuelewa kitamboWakuu nyie mmesoma Cuba, Israel pamoja na Urusi
Mhusika mkuu wa mada ni mtoa mada na sio ''jamaa yake" anayesema yuko nae baa
No sahih mkuuVijana tumieni mundende, vinginevyo mtapata tabu sana
Sasa mimi uboya wangu ni nini haswa mkuu?
kwa hiyo niwe natembea na funguo tu mfukoni kisa mwanamke hawezi fungua mlango??? hujafunga mlango unapoondoka asubuhi funguo unatembea nayo ili iweje?? haya ndo mambo mwanamke anakufokea tu kifalaaa....
Nasema hata baba yangu sijawahi ona akitembe na funguo na either mama au sisi tulikuwa tunamfungulia mlango ila alikuwa harudi saa 8 za usiku... hii case mwanaume anarudi saa 2 sasa why mwanamke asifungue mlango??Mkeo hana shughuli zingine? Anashinda tu nyumbani ili akufungulie wewe mlango? Akitoka huingii kwako?
Funguo ni nzito kiasi gani kuacha kutembea nayo muda wote?
Huwa sielewi kwanini watu mnapenda kufanyiwa mambo ambayo mnaweza kujifanyia wenyewe, unakuta mtu anataka hadi viatu avuliwe na mkewe huu ni uboya.
Nyie ndo mnaokataa kuweka shower kwenu ili tu mkeo akuchemshie maji na kuweka bafuni ukiamiani ndo kazi za mke hizo. Haya ni mawazo ya kimaskini.
Wakati mwingine tunawatesa saana wenzetu, kuna mida km hauna dharura unapaswa uwe home na mwenzio, na nina amini alituma hii mssg wakati kipochi manyoya kinawasha plus kile kibaridi akatuma msg kwa hasira,ye kuweza... ukute wife genye zilimbanaa alafu jamaa hawahi kurudi
She is very rightKwema wakuu?
Kuna jamaa angu tuko nae hapa kwa mama B grocery tunapiga vyombo katumiwa na mkewe hii text. Kaniomba ushauri amjibu nini mkewe.
"Najisikia kuchoka nahitaji kupumzika, uwe unatoka na funguo kupunguza usumbufu"
Ni sahihi mkewe kumtumia huu ujumbe?
Nasema hata baba yangu sijawahi ona akitembe na funguo na either mama au sisi tulikuwa tunamfungulia mlango ila alikuwa harudi saa 8 za usiku... hii case mwanaume anarudi saa 2 sasa why mwanamke asifungue mlango??