Ni sahihi kufanya maendeleo ya Kiuchumi na mpenzi wako?

Nyinyi wanaume Kila siku mnasema kuwa usimsomeshe mpenzi, Ila mwanamke akipinga kuwekeza kwa mwanaume mnamuona mbinfasi, sio mke sahihi, mchoyo.

Basi kwa taarifa yako, nyie wanaume ndiyo wabinafsi wakuu, kwa kumuacha mdada wa watu anakupa huduma zote, mapenzi, anakufulia, anakupikia, anakuoshea, anakununulia mazawadi, mamikopo juu na mwisho wa siku mnaoa mtu mwengine kabisa, nyie ni wabinafsi wakuu.

Ww ata usemeje, siwezi kuwekeza kwa mpenzi, kama ana upendo na Mimi wa ukweli, amenipenda na ana nia ya kunioa niwe mkewe ata niwe vipi atanioa tu, haijalishi kuwa eti nimekataa kuwekeza naye.
"
Basi kwa taarifa yako, nyie wanaume ndiyo wabinafsi wakuu, kwa kumuacha mdada wa watu anakupa huduma zote, mapenzi, anakufulia, anakupikia, anakuoshea, anakununulia mazawadi, mamikopo juu na mwisho wa siku mnaoa mtu mwengine kabisa, nyie ni wabinafsi wakuu."


Nikimpata mwanamke kama huyo 👆👆simwachi naoa moja kwa moja,mimi mpaka sasa hivi sijui hela ya mwanamke inafananaje,hata akiwa nayo siipangii bajeti kabisa.

Na wanawake kama hao ,wenye mioyo ya kutoa hela wako wachache sana,kwenye mia hawazidi kumi,nyie wanawake wabahili sana ndio asili yenu ubahili.
 
"
Basi kwa taarifa yako, nyie wanaume ndiyo wabinafsi wakuu, kwa kumuacha mdada wa watu anakupa huduma zote, mapenzi, anakufulia, anakupikia, anakuoshea, anakununulia mazawadi, mamikopo juu na mwisho wa siku mnaoa mtu mwengine kabisa, nyie ni wabinafsi wakuu."


Nikimpata mwanamke kama huyo simwachi naoa moja kwa moja,mimi mpaka sasa hivi sijui hela ya mwanamke inafananaje,hata akiwa nayo siipangii bajeti kabisa.

Na wanawake kama hao ,wenye mioyo ya kutoa hela wako wachache sana,kwenye mia hawazidi kumi,nyie wanawake wabahili sana ndio asili yenu ubahili.
Mie natoa mbona
 
Habari wakuu,

Je, ni sahihi kufanya MAENDELEO ya kiuchumi na mpenzi wako ambaye hajulikani nyumbani wala hajawahi kufika nyumbani kwao, hutambuliki, bali tu kwa marafiki baadhi?

Haijalishi mahusiano yenu yamedumu kwa muda mrefu au kwa muda mfupi? Mfano, kujenga nyumba pamoja, kununua viwanja pamoja, kuanzisha miradi mbalimbali pamoja, ni sahihi na unaweza kufanya hivyo na mpenzi wako? Na je hiyo ni ishara kuwa unampenda na kumuamini mpenzi wako Kwamba mnaaminiana?

Binafsi, Mimi siwezi kabisa kufanya miradi na mpenzi ambae hata nyumbani hatambuliki wala sitambuliki. Hata angekuwa anatambulika, mimi siwezi. Maana siku ya siku mmetengana inakuwaje?,

Na yaweza kuwa hata ulichukua mkopo kwa ajili ya huo mradi na hati ya hizo Mali mliandika jina la mpenzi wako. Je utavumilia aondoke na hizo Mali kweli?. Binafsi sijawahi kuwaza kufanya MAENDELEO na mpenzi, bali nimewahi kuwaza kufanya miradi mbali mbali na mume.
Huo ni upumbavu ni sawa ukapige kelele mahakamani hakimu akuangalie tu
 
Back
Top Bottom