Nandinii
JF-Expert Member
- Jun 19, 2019
- 2,573
- 2,808
- Thread starter
- #61
Ndo apo ata mi nashangaa, ilhali post zao za Kila siku ni usisomeshe mpenzi ambaye hujulikani ata kwao, usionge mpenzi leo hii wanasema eti ni mawazo ya kipumbavu, leo hii eti wanasema ubinafsi, watu ni wa ajabu eh?. Au kwasbb alie toa Mada ni mwanamke?. Kwmba mwanamke kuwekeza kwa mwanaume ni sawa Ila mwanaume kuwekeza kwa mwanamke si sawa?. Hawa watu ni wa ajabu Sana. Binafsi siwez kuwekeza kwa mwanaume ambaye ata kwao sitambuliki na sijui tuko wangap kwake.Kuna watu ni vigeugeu haohao wanasema usisomeshe mchumba/mpenzi eti hapa wanataka ufanye uwekezaji na mtu hajulikani hata kwenu ajabu hii.