nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,929
Wakuu,Mimi nimejiuliza sana kuhusu Huyu Rais Samia,bado sijapata majibu, nikaona nine niwaulize,swali hili hapo juu ili tutafakari pamoja na kupata jibu sahihi.
Maana kama naona ile methari isemayo mcheza kwao hutunzwa ndiyo inayofanyakazi kwa awamu hii kama ilivyokuwa awamu ya tano( mwenye akili watanielewa).
Alipoingia Samia, tumeona kipaumbele chake cha kwanza kuwatoa masheikh wa uamsho ambao ni wanzanzibari wenzake.
Mbona Set Singh bado anasota mahabusu?
Aliahidi mengi leo anaahirisha Baraza la Mawaziri kuangalia kero za Muungano, je wakuu hizo ni muhimu kuliko mabadiliko ya Katiba ambayo pande zote mbili za Muungano zinalia machozi?
MUNGU TUSAIDIE