donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
Kwa wale wazee wenzangu tuliokulia kijijini,vitu vya kienyej tumepitia. Sasa we unahis kipi cha ukwel? Mie japo sio mhehe ila jamani 'ULANZI' mtamu. Yan kila unapopiga funda utamu unaongezeka huku na wewe unalewa taratiiibu!