Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

Hivi nyie mnazijua nyimbo za sugu au ni watoto wa juzi tu.....sugu kaanza kuimba nyimbo zinazohusu maisha ya watu halisi muda mrefu.mfano..niki chini ya polisi,dsm,day waka ba nyengine nyingi
 
Dei waka dei waka yeahhhhh dei waka dei waka yeahhhh x 4

Nionjesheni kidogo mashairi ya huu wimbo

Na kuna ule wimbo anasema yupo kwenye mziki kabla ya redio za FM , sijui waitwajeee
 
"SUGU ni international chama kubwa kama arsenal" Jamaa hajui hata kulinganisha ni sawa umchukue binti wa 21 wa wakati huu na umfananishe na bibi kizee wa miaka 70 alafu useme huyo binti ni mzuri kuliko hyo bibi kizee.SUGU ni natural rapper vitu vinatoka tu.hivi unajua SUGU ndio alisababisha adi leo hata hawawanamziki waimbaji kama kina diamond wote waliaanzia kurap na wanapenda zaid kurap kuliko kuimba sema tu ni sababu za kibiashara ?
 
ukitoa wimbo wa Haki,Chini ya 18 na Hold on labda kidogo Hayakuwa Mapenzi nyimbo zote zilizobaki za sugu ni kelele tu...na ukizungumzia nyimbo za harakati Sugu agusi hata robo ya Roma Mkatoliki tofauti yao itakuwa sugu alianza kuchana zamani basi
umemjua sugu lini?!..tafuta nimesimama,mikononi mwa polisi,ndani ya bongo,kwa penzi,deiwaka,wananiita sugu,n.k
 
Habarini Wadau,

Kuanzia mwaka 2000 nilianza kumsikiliza Sugu au Mr II aliyekuwa akiitwa 2 proud zamani, ila kiukweli namtofautisha sana na Professor J katika kazi zao.

Mfano mzuri ni "Bongo Dar es salaam"

Nadiriki kusema nyimbo za Proffesor J zote ni nzuri, pia zipo zenye ujumbe na mashairi mazuri yenye Vina kuliko za Mr II.

Labda huu mpya wa "Freedom" japo pia chana yake na ujumbe sio bomba kiviile.

Mr II ni Mwanasiasa, Mwanaharakati na Mzalendo ila Kimziki naona kama anazidiwa sana na wasanii kama Proff J na Afande Sele.

Ni Mtazamo tu.
Bila kupoteza muda huyu ni umri wa kina diamond na ali kiba anasema alianza kumsikiliza 2000 maana yake ni kama mtu aanze kumsikiliza 2016 apime kile kinyimbo takataka cha singeli afananishe na nyimbo ya Kama utanipenda ya Darasa ,au useme marijani rajabu anapitwa na harid chokoraa kwa kuwa ulianza kusikiliza miziki 2000 ,mdogo wangu Unapozungumzia SUGU unatakiwa umfananishe na kina SALEHE JABIL (Nauhakika hujawahi msikia) kinasugu waliheat kipindi kuna AM mpaka leo FM enzi hizo p-funk majani yuko madrasa hebu nikupe kionjo uelewe,nyimbo hii iliimbwa kipindi uchumi umebana baada ya nyerere kung'atuka vigogo wakaanza wizi na vijana tulikuwa na maisha magumu by then mtu wa umri wako suruhisho lilikuwa kuzamia meri au wazazi wawe wa kishua najaribu kukupa imagination ya kulikuwaje kisha sikiliza hapa afu imagine angerekodi kwenye beat za kina joh-makini,huu ulikuwa mwaka 1996 ukiwa hujaanza msikiliza .na kama hujui SUGU anamchango mkubwa kuinua kundi la HARD BLASTERS lililomtoa PROF JAY ,by then wakina nature walikuwa makondakta sugu akipambana .na nyimbo zake nyingi ni za ukombozi mfano a'' ana miaka chini ya 18'' sugu anazungumzia mazingira hatarishi ya kumkuza msichana na nafasi ya kuambukizwa maradhi,etc
 
Sugu na prof bhana prof ana nyimbo nyingi kali sana sugu za kutafta kwa tochi heshma yake kubwa ni uasisi wa music tz
 
Nadhani mtoa post hamujui 2 proud Bali anamjua sugu Tu, uliza wimbo unaitwa chini ya 18, siku nikianguka, mikononi kwa polisi, far dsm, deiwaka, nje ya bongo, wapi tunakwenda, unaweza kubeza kazi za ii proud au umezaliwa Na kumjua akiwa anaitwa sugu tayari?
Za kawaida sana hizo albam ya joseph ni kila ngoma Hatare
 
Bila kupoteza muda huyu ni umri wa kina diamond na ali kiba anasema alianza kumsikiliza 2000 maana yake ni kama mtu aanze kumsikiliza 2016 apime kile kinyimbo takataka cha singeli afananishe na nyimbo ya Kama utanipenda ya Darasa ,au useme marijani rajabu anapitwa na harid chokoraa kwa kuwa ulianza kusikiliza miziki 2000 ,mdogo wangu Unapozungumzia SUGU unatakiwa umfananishe na kina SALEHE JABIL (Nauhakika hujawahi msikia) kinasugu waliheat kipindi kuna AM mpaka leo FM enzi hizo p-funk majani yuko madrasa hebu nikupe kionjo uelewe,nyimbo hii iliimbwa kipindi uchumi umebana baada ya nyerere kung'atuka vigogo wakaanza wizi na vijana tulikuwa na maisha magumu by then mtu wa umri wako suruhisho lilikuwa kuzamia meri au wazazi wawe wa kishua najaribu kukupa imagination ya kulikuwaje kisha sikiliza hapa afu imagine angerekodi kwenye beat za kina joh-makini,huu ulikuwa mwaka 1996 ukiwa hujaanza msikiliza .na kama hujui SUGU anamchango mkubwa kuinua kundi la HARD BLASTERS lililomtoa PROF JAY ,by then wakina nature walikuwa makondakta sugu akipambana .na nyimbo zake nyingi ni za ukombozi mfano a'' ana miaka chini ya 18'' sugu anazungumzia mazingira hatarishi ya kumkuza msichana na nafasi ya kuambukizwa maradhi,etc

Watu wamehaso kinoma
 
Yamenikuta mzee mwenzangu
Sina changu
Wanga wengi anga zangu
Kiama chao ama changu
Ukiishi kwa upanga
Utakufa kwa upanga
Mola ndie anaepanga
Hawakawii kukuzushia
Flan ana H.I.V
Wanapakaza hivi hivi
 
Alizaliwa ndani ya bongo, mara tu alipovunja Ungo wanaume walimfata kwa maneno ya uongo, wakapata walichotaka, sasa ameshachoka, wanamcheka... Chini ya 18- Sugu

Ewe waridi, wewe ni tuzo kunako baridi, unanipa michezo mitamu kwa mwendo wa kigaidi,
Sikatai tuligombana pale wivu ulipotuzidi, ila hayo ni mambo madogo kipenzi tujifariji, tuwapige bao, waswahili hawana chao, yamewashinda ya kwao macho pima kwa ya wenzao... Man-sap by Prf. J
 
Back
Top Bottom