Na Sijui Amekula maharagwe ya wapi huyu!!!!?Mleta mada sijui wa wapi huyu
umemjua sugu lini?!..tafuta nimesimama,mikononi mwa polisi,ndani ya bongo,kwa penzi,deiwaka,wananiita sugu,n.kukitoa wimbo wa Haki,Chini ya 18 na Hold on labda kidogo Hayakuwa Mapenzi nyimbo zote zilizobaki za sugu ni kelele tu...na ukizungumzia nyimbo za harakati Sugu agusi hata robo ya Roma Mkatoliki tofauti yao itakuwa sugu alianza kuchana zamani basi
asubuhi na mapema,nafungua macho,naona kitu ambacho kwangu ni kama kiwingu,polisi njoo na pingu,maisha haya ni mabaya,ndomana vijana wanapenda kwenda ulaya na wasichana wanaamua kuwa malaya..ndo ulikua muda wangu huo!!hizo zingine hazinihusu!!
Bila kupoteza muda huyu ni umri wa kina diamond na ali kiba anasema alianza kumsikiliza 2000 maana yake ni kama mtu aanze kumsikiliza 2016 apime kile kinyimbo takataka cha singeli afananishe na nyimbo ya Kama utanipenda ya Darasa ,au useme marijani rajabu anapitwa na harid chokoraa kwa kuwa ulianza kusikiliza miziki 2000 ,mdogo wangu Unapozungumzia SUGU unatakiwa umfananishe na kina SALEHE JABIL (Nauhakika hujawahi msikia) kinasugu waliheat kipindi kuna AM mpaka leo FM enzi hizo p-funk majani yuko madrasa hebu nikupe kionjo uelewe,nyimbo hii iliimbwa kipindi uchumi umebana baada ya nyerere kung'atuka vigogo wakaanza wizi na vijana tulikuwa na maisha magumu by then mtu wa umri wako suruhisho lilikuwa kuzamia meri au wazazi wawe wa kishua najaribu kukupa imagination ya kulikuwaje kisha sikiliza hapa afu imagine angerekodi kwenye beat za kina joh-makini,huu ulikuwa mwaka 1996 ukiwa hujaanza msikiliza .na kama hujui SUGU anamchango mkubwa kuinua kundi la HARD BLASTERS lililomtoa PROF JAY ,by then wakina nature walikuwa makondakta sugu akipambana .na nyimbo zake nyingi ni za ukombozi mfano a'' ana miaka chini ya 18'' sugu anazungumzia mazingira hatarishi ya kumkuza msichana na nafasi ya kuambukizwa maradhi,etcHabarini Wadau,
Kuanzia mwaka 2000 nilianza kumsikiliza Sugu au Mr II aliyekuwa akiitwa 2 proud zamani, ila kiukweli namtofautisha sana na Professor J katika kazi zao.
Mfano mzuri ni "Bongo Dar es salaam"
Nadiriki kusema nyimbo za Proffesor J zote ni nzuri, pia zipo zenye ujumbe na mashairi mazuri yenye Vina kuliko za Mr II.
Labda huu mpya wa "Freedom" japo pia chana yake na ujumbe sio bomba kiviile.
Mr II ni Mwanasiasa, Mwanaharakati na Mzalendo ila Kimziki naona kama anazidiwa sana na wasanii kama Proff J na Afande Sele.
Ni Mtazamo tu.
Za kawaida sana hizo albam ya joseph ni kila ngoma HatareNadhani mtoa post hamujui 2 proud Bali anamjua sugu Tu, uliza wimbo unaitwa chini ya 18, siku nikianguka, mikononi kwa polisi, far dsm, deiwaka, nje ya bongo, wapi tunakwenda, unaweza kubeza kazi za ii proud au umezaliwa Na kumjua akiwa anaitwa sugu tayari?
Bila kupoteza muda huyu ni umri wa kina diamond na ali kiba anasema alianza kumsikiliza 2000 maana yake ni kama mtu aanze kumsikiliza 2016 apime kile kinyimbo takataka cha singeli afananishe na nyimbo ya Kama utanipenda ya Darasa ,au useme marijani rajabu anapitwa na harid chokoraa kwa kuwa ulianza kusikiliza miziki 2000 ,mdogo wangu Unapozungumzia SUGU unatakiwa umfananishe na kina SALEHE JABIL (Nauhakika hujawahi msikia) kinasugu waliheat kipindi kuna AM mpaka leo FM enzi hizo p-funk majani yuko madrasa hebu nikupe kionjo uelewe,nyimbo hii iliimbwa kipindi uchumi umebana baada ya nyerere kung'atuka vigogo wakaanza wizi na vijana tulikuwa na maisha magumu by then mtu wa umri wako suruhisho lilikuwa kuzamia meri au wazazi wawe wa kishua najaribu kukupa imagination ya kulikuwaje kisha sikiliza hapa afu imagine angerekodi kwenye beat za kina joh-makini,huu ulikuwa mwaka 1996 ukiwa hujaanza msikiliza .na kama hujui SUGU anamchango mkubwa kuinua kundi la HARD BLASTERS lililomtoa PROF JAY ,by then wakina nature walikuwa makondakta sugu akipambana .na nyimbo zake nyingi ni za ukombozi mfano a'' ana miaka chini ya 18'' sugu anazungumzia mazingira hatarishi ya kumkuza msichana na nafasi ya kuambukizwa maradhi,etc
Hapo unampata Lady Jaydee!!sema unachowezaaa
Fanya unachowezaaa
mbona unashangaa!!
mambo ya fedha!
Sugu Moto chini....Dei waka dei waka yeahhhhh dei waka dei waka yeahhhh x 4
Nionjesheni kidogo mashairi ya huu wimbo
Na kuna ule wimbo anasema yupo kwenye mziki kabla ya redio za FM , sijui waitwajeee