Calnde
JF-Expert Member
- Oct 7, 2008
- 1,373
- 277
Juzi zimetokea fujo na vurugu za kidini mwanza. Wameshikiliwa watu kadhaa kwa fujo hizo. Cha ajabu watu hao wakaachiwa baada ya
mazungumzo baina ya kamati ulinzi na usalama na BAKWATA Mwanza. Tatizo si kuachiwa kwao, bali sababu. . kwamba 'ni kuhakikisha
tunaweka mambo sawa na kuhakikisha amani na usalama'.
My take:
1. Sidhani kama ni utaratibu mzuri kuwaachia watuhumiwa kwa sababu za kulinda amani. Watuhumiwa waachiwe ikiwa tuu hawana makosa kwa
kuthibitishwa na mahakama kama katiba yetu inavyotaka. Ikiwa wakristo watafanya maandamano na fujo kuwatetea hao wachoma kuran, hao
watuhumiwa wataachiwa ili kulinda amani?
2. Kwanini maamuzi kama hayo hayafanywi Arusha ambako amani iko mashakani kila kukicha? Tutafsiri vipi maamuzi ya namna hii? Si ni polisi
hao hao wanahusika. Tanzania should strive to avoid double standards kwa kweli.