Ni nini itakuwa kauli mbiu ya miaka 34 ya kuzaliwa CCM? Tafakari!

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Tumesikia na kushuhudia matokeo ya kauli mbiu hii. Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele! Kauli mbiu inayokwenda kinyume na hali halisi ilivyo...nasubiri kwa hamu kauli mbiu ya miaka 35 ya kuzaliwa CCM Sijui itakuaje! Labda itakuwa hivi, tulipanda, tumevuna sasa tunakula!
 
Tuliwaibia, tunaiba na tutaendelea kuwaibia mno!! mimi nadhan hii ndo itakuwa kauli mbiu ya CCM
 
Tumesikia na kushuhudia matokeo ya kauli mbiu hii. Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele! Kauli mbiu inayokwenda kinyume na hali halisi ilivyo...nasubiri kwa hamu kauli mbiu ya miaka 34 ya kuzaliwa CCM Sijui itakuaje! Labda itakuwa hivi, tulipanda, tumevuna sasa tunakula!

Jk rekebisha hapo kwenye 34 weka 35.
 
Back
Top Bottom