Ni ngumu Waislamu kuepuka mifumo ilionzishwa au inayohusiana na wakristo?

Uktisto na uislamu ,dini zote hizi kuu mbili zilianza mashariki ya kati,na hayo yote uliyoyataja yalianza huko huko mashariki ya kati.Usidanganyike,hawa watu wa mashariki ya kati wapo pamoja mambo mengi.Ndio ukaona hata ndoa iliyofanyika kanisani,walioana kanisani,wakisilimu,hawafungishwi ndoa tena,ndoa yao inahesabika ni halali na watoto waliozaa,wanahesabika ni halali na ni hivyo hivyo pia kwenye ukristo.Biblia ya kiarabu,ukiona maneno na maandishi yake ya kiarabu,utafikiri ni Qur'an,mavazi yao yao,kanzu,kofia,majoho,vilemba,majina yao,yanafanana.Hata mtume wa waislamu alipewa mke wa kikristo anaitwa Maria Qibtia.Kumbuka Uislamu na Ukristo umetoka mashariki ya Kati.Na ndiko mambo mengi yaliko anzia.Wazungu ndio wamechukuwa dini hizi za mashariki ya kati,na

Hivyo vyote vilianza mashariki ya kati,na dini zote mbili za ulristo na uislamu zilianza huko.Hata kalenda na miaka iko BC(before christ)AD ( Ano Domino).Huy
Mkristo ni kabla ya uislam zaidi ya miaka 1500
 
Back
Top Bottom