Ni ngumu Waislamu kuepuka mifumo ilionzishwa au inayohusiana na wakristo?

Bullshit

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,300
1,495
Nchi nyingi au zote za waislam au waislam wanatumia mifumo ambao ilianzishwa na wakristo. Ikiwa waislam wanawapinga wakristo, je ni sahihi kuacha mambo ambao alianzishwa ua ina mzizi na wakristo kama vile

Elimu ya sayansi na technolojia.
Mfumo wa elimu kuanzia shule ya msingi mpaka Vyuo Vikuu,
Maswala ya uongozi,
Kusherekea sikuu,
Kutumia kalenda ya sasa Jan - Dec, Majina ya siku miezi na saa
Sanaa na utamaduni.
Sheria na katiba.

Mambo hayo yana mizizi yake katika tamaduni za kikristo ila waislam wengi ni kama wanafuata mambo hao.

Waaislam wanasoma mpaka vyuovikuu, watumia kalenda ya sasa, ni kawaida muislam kuitwa Dr sulle. hii imekaa vipi.

Usitumie akili nyingi kutaka kunielewa.
 
Nchi nyingi au zote za waislam au waislam wanatumia mifumo ambao ilianzishwa na wakristo. Ikiwa waislam wanawapinga wakristo, je ni sahihi kuacha mambo ambao alianzishwa ua ina mzizi na wakristo kama vile

Elimu ya sayansi na technolojia.
Teknolojia ipo kila pahala. Wazungu sio waasisi wa sayansi na teknolojia
Mfumo wa elimuu kuanzia shule ya msingi mpaka vioo vikuu.
Zipo nchi za kiislamu kama vile Mali zilikuwa na chuo cha zamani kuliko nchi yoyote ya kikristo
Maswala ya uongozi.
Uongozi ulianza zamani kuanzia falme la Mafarao huko hata ukristo haujaotwa
Kusherekea sikuu.

Kila jamii inasikukuu zake
Kutumia kalenda ya sasa jan- Dec
Waislam wana kalenda yao.
Majina ya siku miez na saa
Pia wana miezi yao ndio kama mwezi wa ramadhani, rajabu n.k
Sanaa na utamaduni.
Kila jamii ina utamaduni wake
Sheria na katiba.
Utamaduni mara nyingi ndio huzaa sheria
Mambo hayo yana mizizi yake katika tamaduni za kikristo ila waislam wengi ni kama wanafuata mambo hao.

Waaislam wanasoma mpaka vyuovikuu, watumia kalenda ya sasa, ni kawaida muislam kuitwa Dr sulle. hii imekaa vipi.

Usitumie akili nyingi kutaka kunielewa.
 
Ni wewe tu ndio bado uko gizani undhani mifumo yote na technologia zilianzia ulaya na wakrsto ndio alianzisha.

Elimu ni kitu endelevu mataifa mbali mbali yalishiriki katika kujenga elimu na teknologia.

Anzia na kitu muhimu sana, hesabu. Hizi namba unazotumia sasa unajua nani walizilita wakati wazungu wako wako kwenye giza? Ni Waarabu.

Na bado kuna mengi, badala ya kuanzisha uzi mbovu hapa jaribu kusoma kwenye mtandao.
 
Sijataja wazungu, nimetaja wakristo.
 
Teknolojia ipo kila pahala. Wazungu sio waasisi wa sayansi na teknolojia

Zipo nchi za kiislamu kama vile Mali zilikuwa na chuo cha zamani kuliko nchi yoyote ya kikristo

Uongozi ulianza zamani kuanzia falme la Mafarao huko hata ukristo haujaotwa

Kila jamii inasikukuu zake

Waislam wana kalenda yao.

Pia wana miezi yao ndio kama mwezi wa ramadhani, rajabu n.k

Kila jamii ina utamaduni wake

Utamaduni mara nyingi ndio huzaa sheria

Sijata wazungu, nimetaja wakristo. kuwa muelewa
 
Ni wewe tu ndio bado uko gizani undhani mifumo yote na technologia zilianzia ulaya na wakrsto ndio alianzisha.

Elimu ni kitu endelevu mataifa mbali mbali yalishiriki katika kujenga elimu na teknologia.

Anzia na kitu muhimu sana, hesabu. Hizi namba unazotumia sasa unajua nani walizilita wakati wazungu wako wako kwenye giza? Ni Waarabu.

Na bado kuna mengi, badala ya kuanzisha uzi mbovu hapa jaribu kusoma kwenye mtandao.
Masri ni Afrika au Eshia?
 
Back
Top Bottom